Msaada kuhusu sifa na tabia za wanaume wa Kinyamwezi

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
15,295
Reaction score
10,965
Wakuu kuna mwanangu (mtoto wa kaka yangu) amepata mchumba kutoka Tabora na ni Mnyamwezi (asili Nzega wakahamia Igunga) . Hakika binti anampenda sana mchumba ila mama yake amekuwa na wasiwasi kwa kuwa ni binti wa pekee na hatapenda aolewe na mwanaume wa kimagumashi. Sasa akaniomba nipeleleze hili kabila. Nikakubali maana najua JF ni kiboko ya mambo yote. Kwa wale waliolewa na wanyamwezi au hata ndugu zao au hata kuwa na marafiki wapenzi wa kiume toka kabila hilo ninaomba waandike kutoka moyoni mwao hawa watu wakoje kitabia na kimahusiano. Tafadhali sana nahitaji ushauri si kubeza nilichoomba. Weka mawazo yako yaliyokomaa maana si utani ni kitu halisi na kinasubiri Jibu. Hata hivyo mwisho wa siku binti ana uamuzi wa mwisho ila msaada wako utasaidia wakuu. Shukrani.

Mimi Zogwale.
 
Tupo wavivu @ the maximum yani hatuna tofauti na watu wa pwani.. mfano ni kama kapuya , sitta hata Lipumba ni wa huko huko unyamwezini.. Stay away from kabira letu utajuta kutufahamu.
 
Asante mku manoah, maana binti ametoka familia imara na wachapakazi sana. Sasa hapo ni pagumu. Ngoja na wengine waseme. Shukrani.
 
Zogwale kama kapata mnyamwezi wa sikonge mruhusuni, jamaa hua ni ma bizinesi man na wanakuaga na pesa na wana wapendaga wake zao ... all in all usi judge mtu kwa kabira alilotokea unamjua mtemi Isike? hata yule alie jinyonga Iringa alitokeaga pande za unywamwenga

Kama Binti akiridhia Mruhusuni lakini katu asimruhusu akaweka Benchi la Uselemala Nyumbani....! La sivyo atawazalia watoto idadi ya timu ya Football. But kama huyo mchumba ni fundi selemala. Pia amchunguze kama keshatolewa Mkono wa Sweta si unasikia Matangazo ya Tohara redion! Na kampen imeanzia Tbr?
 
Asante mkuu manoah ngoja, nipate jina la sehemu husika niweke kwa post ili iwe specific zaidi.
 
Kama Binti akiridhia Mruhusuni lakini katu asimruhusu akaweka Benchi la Uselemala Nyumbani....! La sivyo atawazalia watoto idadi ya timu ya Football. But kama huyo mchumba ni fundi selemala. Pia amchunguze kama keshatolewa Mkono wa Sweta si unasikia Matangazo ya Tohara redion! Na kampen imeanzia Tbr?

Aise mkuu life.co.tz umenifungua sana macho kuhusu suala la dondosha mkono sweater. Ngoja nimwakilishe hili kwa mama mzazi wa binti ili amchunguze mwanaye. Kama haijatolewa hakika nitashauri liwe sharti kwa kwanza wazee wamuite kijana aende akatoe haraka sana. Kwa miaka hii jamani wanaume tuache utani, kama ile kitu haijatolewa kaidondoe huwa ni adha kwa wanawake sana na ni aibu pia. Hata uvaaji wa condomo kwa kinga kama utachepuka ni tatizo sana maana inaumiza!!! Matokeo yake ni peku na ndiyo maana maambukizi kwa watu wasiotoa ile ngozi ni nje nje.
 
Zogwale kama kapata mnyamwezi wa sikonge mruhusuni, jamaa hua ni ma bizinesi man na wanakuaga na pesa na wana wapendaga wake zao ... all in all usi judge mtu kwa kabira alilotokea unamjua mtemi Isike? hata yule alie jinyonga Iringa alitokeaga pande za unywamwenga

Nimeshapata jibu mkuu manoah, ni Nzega wakahamia Igunga. Niko gizani hapo. Naomba details mkuu.
 
Nzega na Igunga wana character za kisuma nyingi. Alafu huenda nikawa mimi ndio ninaetaka kuoa uyo binti duh!

Ha ha ha Mkuu, manoah, ningeshukuru kama ingekuwa ni wewe ila sasa hujanipa sifa za nyie wa kutoka Nzega. Uwe wazi usiogope mkuu wangu. Wasukuma nao sina taarifa zao nyingi sana ila kuna kasifa kuwa akioa nje ya usukumani ni lazima awe na kengine ka usukumani!! Tehe Tehe!! Mwagika mkuu.
 
Haya makabila yatawapeleka kubaya..Tabia ni ya mtu na si kabila..Mwangalieni Mungu zaidi na sio historia..Mtamkosesha mume binti yenu..
 
Asante sana mshauri wangu kiimani. Hakika mume na mke bora vyote mtu apaswa kumwomba Mungu na kinakubali kuwa ukabila ni sehemu tu katika kuchagua. Ila sasa kuna asili za makabila nazo hatuwezi kuzisahau na zinachangia sana wanandoa kusonga mbele kiimani, maadili na maendeleo pia. Hapa sasa ndipo suala la ukabila linaingia!! Usije mtu unajitahidi kimaishwa halafu unakuta mwanaume ni wa kuridhika tu maisha ya kawaida, yaani hana aibua ya maendeleo kijamii na kiuchumi ambavyo pamoja na sala/maombi ndivyo msingi mkuu wa upendo na furaha katika familia. Hakika umaskini ni mzizi wa mambo yote mabaya kifamilia na kitaifa, hata kidunia pia.
 
umenena kweli

Mkuu Nicas Mtei,si kwamba nashabikia ukabila ila Zion Daughter nimemjibu vema tu. Kuna sababu nyingi kwa aina ya mke au mume wako si mchezo kukosea maana maji haya yakishamwagika huzoi tena. Ndoa si lelemama.
 
ah ah! Hapana mkuu, wasukuma ni waaminifu na wana nidhamu katika yale wayafanyao na hua wana akili, nguvu, huruma, wachangamfu na watii kwa Mungu na ni wachapakazi haswaaa. Na ivi hako kabinti keupe na ndio ugonjwa wetu huo Zogwale
Ha ha ha Mkuu, manoah, ningeshukuru kama ingekuwa ni wewe ila sasa hujanipa sifa za nyie wa kutoka Nzega. Uwe wazi usiogope mkuu wangu. Wasukuma nao sina taarifa zao nyingi sana ila kuna kasifa kuwa akioa nje ya usukumani ni lazima awe na kengine ka usukumani!! Tehe Tehe!! Mwagika mkuu.
 
Asante sana mshauri wangu kiimani. Hakika mume na mke bora vyote mtu apaswa kumwomba Mungu na kinakubali kuwa ukabila ni sehemu tu katika kuchagua. Ila sasa kuna asili za makabila nazo hatuwezi kuzisahau na zinachangia sana wanandoa kusonga mbele kiimani, maadili na maendeleo pia. Hapa sasa ndipo suala la ukabila linaingia!! Usije mtu unajitahidi kimaishwa halafu unakuta mwanaume ni wa kuridhika tu maisha ya kawaida, yaani hana aibua ya maendeleo kijamii na kiuchumi ambavyo pamoja na sala/maombi ndivyo msingi mkuu wa upendo na furaha katika familia. Hakika umaskini ni mzizi wa mambo yote mabaya kifamilia na kitaifa, hata kidunia pia.

Bado suala liko palepale..Wachaga wanasifika kwa uhodari wa kazi na biashara lakni kuna wachaga masikini sana.Faida ya kumuweka Mungu mbele ni kuwa atakupa neema,hekima na macho ya rohoni kuona kilicho chema regardless kabila na Utaifa..Lkn kwa vile wengi wetu ni wakristo wa kichina si mbaya kutumia hekima ya kibinadamu lkn huwa inadanganya
 
Mkuu Nicas Mtei,si kwamba nashabikia ukabila ila Zion Daughter nimemjibu vema tu. Kuna sababu nyingi kwa aina ya mke au mume wako si mchezo kukosea maana maji haya yakishamwagika huzoi tena. Ndoa si lelemama.

Uonavyo wewe ni mabinti/wavulana wa kabila gan wanaofaa kuolewa/kuoa?
 
  • Thanks
Reactions: JRK
Bado suala liko palepale..Wachaga wanasifika kwa uhodari wa kazi na biashara lakni kuna wachaga masikini sana.Faida ya kumuweka Mungu mbele ni kuwa atakupa neema,hekima na macho ya rohoni kuona kilicho chema regardless kabila na Utaifa..Lkn kwa vile wengi wetu ni wakristo wa kichina si mbaya kutumia hekima ya kibinadamu lkn huwa inadanganya

Ni kweli wachaga wote si matajiri, maskini wa kutupwa wapo ila wana asilimia kubwa ya uchapaji kazi!! Sasa na hawa wanyamwezi wa Nzega nataka kufahamu asilimia kubwa wana sifa ipi? Please, wenye kuwafahamu hawa watu wanisaidie. Masuala ya imani kwa kumpata mume binti anajua mwenyewe, sisi tunafanya yale ya kidunia ambaye mzazi yeyote angefanya. Asante.
 
Mkuu Nicas Mtei,si kwamba nashabikia ukabila ila Zion Daughter nimemjibu vema tu. Kuna sababu nyingi kwa aina ya mke au mume wako si mchezo kukosea maana maji haya yakishamwagika huzoi tena. Ndoa si lelemama.
Halafu kwa nini msimchunguze yeye tabia zake!?Siku hizi na huu utandawazi mambo yamebadilika.Inawezekana ni mnyamwezi kweli lakn kakulia uzaramoni na kuadapt tabia za kizaramo..sasa mtajikuta mnachunguza hewa.Siku hizi sio jambo la kushangaza kukuta mtu hajui kilugha wala desturi hata moja ya kabila yake..
 
Ni kweli wachaga wote si matajiri, maskini wa kutupwa wapo ila wana asilimia kubwa ya uchapaji kazi!! Sasa na hawa wanyamwezi wa Nzega nataka kufahamu asilimia kubwa wana sifa ipi? Please, wenye kuwafahamu hawa watu wanisaidie. Masuala ya imani kwa kumpata mume binti anajua mwenyewe, sisi tunafanya yale ya kidunia ambaye mzazi yeyote angefanya. Asante.

Kila la heri!!
 
Back
Top Bottom