Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,966
- Thread starter
- #21
Uonavyo wewe ni mabinti/wavulana wa kabila gan wanaofaa kuolewa/kuoa?
Niko specific kwa post yangu na sijauliza habari za makabila mengine. Kama huna cha kuchangia mkuu Nicas Mtei basi ngoja waje wa kunisaidia kama wengine walivyofanya hapo juu. Niko specific na nimeweka rai hapo kwenye post kuwa nataka mwenye mawazo yaliyokomaa hapa anipe elimu maani ni jambo serious to our family. Nafikiri umenielewa.