Msaada kuhusu sifa na tabia za wanaume wa Kinyamwezi

Msaada kuhusu sifa na tabia za wanaume wa Kinyamwezi

Muoaji kama ni mnyamwezi basi huyo dada kapata mume. Yaani wanaume wa kinyamwezi wanapooa makabila mengine huwa na upendo sana na huwaheshimu sana wake zao. Yaani hadi wakati mwingine unaweza ukahisi wamelishwa dawa. Lkn pia wanyamwezi wa skonge hawana tofauti kubwa na watu wa pwani kitabia. Kama wengine walivyotangulia kusema siku hizi usimjaji mtu kwa kabila.Nafikiri itategemea na tabia ya huyo mtu binafsi si unajua siku hizi tuna muingiliano mkubwa wa makabila na tabia. Sasa ni vema amchunguze huyo mtu yukoje na si kikabila.

Asante sana mkuu Ablessed. Muoaji (mwanaume) ni mnyamwezi. Kwa hiyo binti ahesabu mambo yatakuwa mazuri. Hakika hatuoi kabila ila ni tabia za mtu ila pia kwa kiasi fulani kuna common characters kwa kila kabila, ambazo nyingine kwa maendeleo ni sifuri. Hivi si unajua kuna baadhi ya makabila wanaume ni wavivu sana na huwa hawachelewi kuhamia kwa mwanamke hata kama anamzidi umri ili mradi mwanamke ana hela au mali. Wakati kwa makabila mengine ni aibu kwa mwanaume kuhamia nyumbani kwa mwanamke na kuishi. Yaani kuna wanaume dezo na kupenda vya mteremko na wengine hardworking!!!
 
Hawafi na ukimwi na 100 percent na wake zao ila Wanapenda sana.ukitaka mume mpiga deki unae hapo.Mama angu mkubwa aliolewa na hao jamani mama mkubwa walikuwa wanamkomaje mtaani .mme wake alikuwa Kwenye kiganja.mume wake alikuwa jeshini Enzi hizo jeshi la Nyerere /twalipo .maskini amekufa baba angu mkubwa huyo .mama angu mkubwa bonge la shangingi
Natalia Mkuu nimecheka sana, you made may day hakika. Yaani hawafi ukimwi na una uhakika 100%? Ina maana wana kinga ya kuzuia vvu isiwaletee ukimwi au wana kinga ambayo VVU haikamati? Sisi hakika tunaomba mkwe wetu awe mchapakazi tu, mambo ya kupiga deki na kubeba hata mke mgongoni ni habari yao hiyo. Ila kama wanajua kupenda ile ya kweli tunashukuru.
 
Nenda kaishi Tabora kwa muda wa miaka 10 utajua tabia zao kwa undani zaidi ya kudanganywa humu Jf.
 
Hivi ukitaka kujua sifa na tabia za kabila jingne huhofii nawe kuchunguzwa za kwako? Sibezi, na ningekuwa nawajua ningeshauri kama ulivyoomba. Kwakuwa kila kabila halikosi sifa hasi, nachelea uwezekano wa kukataliwa mtu kwa sifa moja tu amabayo huweza kupewa kipaombele.
 
Back
Top Bottom