Msaada kuhusu sifa na tabia za wanaume wa Kinyamwezi

Msaada kuhusu sifa na tabia za wanaume wa Kinyamwezi

Haya makabila yatawapeleka kubaya..Tabia ni ya mtu na si kabila..Mwangalieni Mungu zaidi na sio historia..Mtamkosesha mume binti yenu..
Waambie ukweli sio haya 'makabila' bali 'huu ukabila utawapeleka pabaya' apartheid hiyo
 
wanyamwezi sie bwana twapenda kugegedana balaa ila mzingo mzito mpe mnyamwezi. alafu ila mwambie acheki cicle cell kama carrier ama vipi isije kula kwake.
 
mimi wanyamwezi nawapenda jamani,ingawa watu wanasema ooh walugaluga.mimi naamini mwanamme yoyote ambae ni mlugaluga huwa anajali,na haoni tabu kukusaidia kazi za ndani.mwanamme msomi,ataishia yes no kwa wingi ,mara"no thank you nyingi",na i'm going out with my friends.
 
Wakuu kuna mwanangu (mtoto wa kaka yangu) amepata mchumba kutoka Tabora na ni Mnyamwezi (asili Nzega wakahamia Igunga) . Hakika binti anampenda sana mchumba ila mama yake amekuwa na wasiwasi kwa kuwa ni binti wa pekee na hatapenda aolewe na mwanaume wa kimagumashi. Sasa akaniomba nipeleleze hili kabila. Nikakubali maana najua JF ni kiboko ya mambo yote. Kwa wale waliolewa na wanyamwezi au hata ndugu zao au hata kuwa na marafiki wapenzi wa kiume toka kabila hilo ninaomba waandike kutoka moyoni mwao hawa watu wakoje kitabia na kimahusiano. Tafadhali sana nahitaji ushauri si kubeza nilichoomba. Weka mawazo yako yaliyokomaa maana si utani ni kitu halisi na kinasubiri Jibu. Hata hivyo mwisho wa siku binti ana uamuzi wa mwisho ila msaada wako utasaidia wakuu. Shukrani.Mimi Zogwale.
sahihisha title plse! Kinyamwezi/Kisukuma. Wote ni Kabila moja tifauti ni kwamba Wanyamwezi wako upande wa Kusini ambapo tunaita Wadakama aka Wanyamwezi but Wasukuma wako upande wa kazikazini ambapo tunaita Sukuma ila kwa wote lugha ni ileile tofauti ndogo sana kwenye rafuzi, tabia kidogo. But same charaters za kupenda, hardworking, etc. Uzembe hauna nafasi unless kwa wachache
 
Tupo wavivu @ the maximum yani hatuna tofauti na watu wa pwani.. mfano ni kama kapuya , sitta hata Lipumba ni wa huko huko unyamwezini.. Stay away from kabira letu utajuta kutufahamu.

nakupenda hivyo hivyo
shemeji hata kama mvivu hahaa!
 
Wakuu kuna mwanangu (mtoto wa kaka yangu) amepata mchumba kutoka Tabora na ni Mnyamwezi (asili Nzega wakahamia Igunga) . Hakika binti anampenda sana mchumba ila mama yake amekuwa na wasiwasi kwa kuwa ni binti wa pekee na hatapenda aolewe na mwanaume wa kimagumashi. Sasa akaniomba nipeleleze hili kabila. Nikakubali maana najua JF ni kiboko ya mambo yote. Kwa wale waliolewa na wanyamwezi au hata ndugu zao au hata kuwa na marafiki wapenzi wa kiume toka kabila hilo ninaomba waandike kutoka moyoni mwao hawa watu wakoje kitabia na kimahusiano. Tafadhali sana nahitaji ushauri si kubeza nilichoomba. Weka mawazo yako yaliyokomaa maana si utani ni kitu halisi na kinasubiri Jibu. Hata hivyo mwisho wa siku binti ana uamuzi wa mwisho ila msaada wako utasaidia wakuu. Shukrani.

Mimi Zogwale.
Wapiga deki ,unamchuna mpaka anaweweseka.washamba wanavaa suruali Za njano mikanda red na viatu vyeupe .boring
 
Wenye tabia ya kukaa na magovinda ni wasukuma pure kama wale wa magu n.k ila wanyamwezi hawanaga magovile sawa? amini nakwambia.

Kwanin nyie muanzie kwenye kampen kabambe ya dondosha kasweta
 
Wakuu kuna mwanangu (mtoto wa kaka yangu) amepata mchumba kutoka Tabora na ni Mnyamwezi (asili Nzega wakahamia Igunga) . Hakika binti anampenda sana mchumba ila mama yake amekuwa na wasiwasi kwa kuwa ni binti wa pekee na hatapenda aolewe na mwanaume wa kimagumashi. Sasa akaniomba nipeleleze hili kabila. Nikakubali maana najua JF ni kiboko ya mambo yote. Kwa wale waliolewa na wanyamwezi au hata ndugu zao au hata kuwa na marafiki wapenzi wa kiume toka kabila hilo ninaomba waandike kutoka moyoni mwao hawa watu wakoje kitabia na kimahusiano. Tafadhali sana nahitaji ushauri si kubeza nilichoomba. Weka mawazo yako yaliyokomaa maana si utani ni kitu halisi na kinasubiri Jibu. Hata hivyo mwisho wa siku binti ana uamuzi wa mwisho ila msaada wako utasaidia wakuu. Shukrani.

Mimi Zogwale.
Hawafi na ukimwi na 100 percent na wake zao ila Wanapenda sana.ukitaka mume mpiga deki unae hapo.Mama angu mkubwa aliolewa na hao jamani mama mkubwa walikuwa wanamkomaje mtaani .mme wake alikuwa Kwenye kiganja.mume wake alikuwa jeshini Enzi hizo jeshi la Nyerere /twalipo .maskini amekufa baba angu mkubwa huyo .mama angu mkubwa bonge la shangingi
 
ahahaaa natalia nitafutie mzungu jamani,,,sitaki ushangingi mimi
 
Wapiga deki ,unamchuna mpaka anaweweseka.washamba wanavaa suruali Za njano mikanda red na viatu vyeupe .boring

Really?Give us a break,will you?

CC:The Boss,Sikonge,mzabzab,Kaunga,snowhite
 
Wazungu Wanapenda mashangingi.mambo ya kuwa na mwendo wa Madagascar na love in Bombay .chezea
ahahaa so unanitosa dear wangu? nakufa umaskini huku mdogo wako nitoe
 
mkuu mbona hasira umevaa suruali ya njano nini?

Suruali ya njano?Huyo Natalia mwenyewe angeniona Mnyamwezi mimi hata huyo babu wa kizungu angekuwa anaenda kuchukua pesa zake tu na mzigo angerudi kupata kwa mnyamwezi,lol!
 
Suruali ya njano?Huyo Natalia mwenyewe angeniona Mnyamwezi mimi hata huyo babu wa kizungu angekuwa anaenda kuchukua pesa zake tu na mzigo angerudi kupata kwa mnyamwezi,lol!
muke ya mzungu bwana... nataka anitafutie mzungu..wanaume wa kuvaa suruali za blue siwezi mie
 
Muoaji kama ni mnyamwezi basi huyo dada kapata mume. Yaani wanaume wa kinyamwezi wanapooa makabila mengine huwa na upendo sana na huwaheshimu sana wake zao. Yaani hadi wakati mwingine unaweza ukahisi wamelishwa dawa. Lkn pia wanyamwezi wa skonge hawana tofauti kubwa na watu wa pwani kitabia. Kama wengine walivyotangulia kusema siku hizi usimjaji mtu kwa kabila.Nafikiri itategemea na tabia ya huyo mtu binafsi si unajua siku hizi tuna muingiliano mkubwa wa makabila na tabia. Sasa ni vema amchunguze huyo mtu yukoje na si kikabila.
 
sahihisha title plse! Kinyamwezi/Kisukuma. Wote ni Kabila moja tifauti ni kwamba Wanyamwezi wako upande wa Kusini ambapo tunaita Wadakama aka Wanyamwezi but Wasukuma wako upande wa kazikazini ambapo tunaita Sukuma ila kwa wote lugha ni ileile tofauti ndogo sana kwenye rafuzi, tabia kidogo. But same charaters za kupenda, hardworking, etc. Uzembe hauna nafasi unless kwa wachache

Nimeshaongezea Kisukuma Mkuu skalulu. Asante kwa mchango wako sana.
 
Back
Top Bottom