Msaada: Kuangalia youtube au streamed/live event from mobile phone to TV

Kongolo

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
442
434
Habari wataalamu wangu
Is there a way naweza kuconnect live event nayoangalia kwa kustream kwenye mobile yangu ionekana kwenye TV?
Kama Yes ni TV aina gani inatakuwa na App gani niwe nayo kwenye simu to support this
Msaada watu wangu mliobobea ktk jukwaa hili pendwa la wataalamu
Natanguliza shukrani zangu
 
Uwe na wifi connection na simu yako nenda kwenye multi screen n tv yako iwe smart n.b ukitaka router ni Pm ambayo itakufanya ucconect tv na simu
 
hizo technology zipo nyingi ila maarufu zaidi ni miracast na wifi direct, pia zipo DLNA, Airplay, Widi etc

unachotakiwa ni kuhakikisha tv yako na simu yako vyote vina hizo technology, almost simu zote zina DLNA ila ni simu chache zina miracast na DLNA hivyo hapa inabidi uwe makini.

Na smart tv zote zina hizo technology na baadhi ya tv ambazo sio smart pia zinazo, ila kwa uhakika nunua smart tv (zipo hadi za around laki 4)

pia kuna deki (dvd/bluray players), hometheatre na baadhi ya sabufa zina hizo miracast unaweza tumia pia kama kiungio cha simu na tv.
 
Vipi kama nikiunganisha kwa kutumia usb cable kufanya hiyo connection,sitaweza kuangalia?
 
hizo technology zipo nyingi ila maarufu zaidi ni miracast na wifi direct, pia zipo DLNA, Airplay, Widi etc

unachotakiwa ni kuhakikisha tv yako na simu yako vyote vina hizo technology, almost simu zote zina DLNA ila ni simu chache zina miracast na DLNA hivyo hapa inabidi uwe makini.

Na smart tv zote zina hizo technology na baadhi ya tv ambazo sio smart pia zinazo, ila kwa uhakika nunua smart tv (zipo hadi za around laki 4)

pia kuna deki (dvd/bluray players), hometheatre na baadhi ya sabufa zina hizo miracast unaweza tumia pia kama kiungio cha simu na tv.
Najuaje kama simu na TV yangu zina DLNA? Na nikishajua nafanyaje ku connect...asante kwa msaada wako wa awali najua kupitia jukwaa hili tafanikiwa
Hizi gharama za dstv zinatukimbiza huko tunatafuta njia mbadala
 
unatakiwa utafute miracast au widi na si DLNA, DLNA ina limitation na si kila app inaisupport wakati miracast ukiweka on app zote utastream.

angalia specs za vifaa husika kujua, kwa lugha nyengine nenda google.

alternative kwa simu nenda setting then kwenye wireless and network tafuta hapo utaona neno kama cast, miracast, screen share etc

kwa tv nimekwambia ikiwa smart tv inafaa, kuhakiki zaidi angalia menu ya tv kama utaona hayo maneno.

na pia mkuu si lazima utumie simu, unaweza nunua android tv box kwa around laki 1 mpaka 2, tv box ina HDMI hivyo utapata quality nzuri compare na simu na hizi wifi zetu za low quality.
 
Habari wataalamu wangu
Is there a way naweza kuconnect live event nayoangalia kwa kustream kwenye mobile yangu ionekana kwenye TV?
Kama Yes ni TV aina gani inatakuwa na App gani niwe nayo kwenye simu to support this
Msaada watu wangu mliobobea ktk jukwaa hili pendwa la wataalamu
Natanguliza shukrani zangu

$_1.JPG

Hiyo inaitwa MHL to HDMI cable inapoint ya USB cable to smart phone point yake ya HDMI kuna connection USB cable pia mimi niliagiza on line naangalia kila kitu kwenye simu yangu kupitia TV hasa zote za Modbro lakini online streaming TV inakataa
 
unatakiwa utafute miracast au widi na si DLNA, DLNA ina limitation na si kila app inaisupport wakati miracast ukiweka on app zote utastream.

angalia specs za vifaa husika kujua, kwa lugha nyengine nenda google.

alternative kwa simu nenda setting then kwenye wireless and network tafuta hapo utaona neno kama cast, miracast, screen share etc

kwa tv nimekwambia ikiwa smart tv inafaa, kuhakiki zaidi angalia menu ya tv kama utaona hayo maneno.

na pia mkuu si lazima utumie simu, unaweza nunua android tv box kwa around laki 1 mpaka 2, tv box ina HDMI hivyo utapata quality nzuri compare na simu na hizi wifi zetu za low quality.
Asante sana mkuu nimekupata sana sana...acha nitafute hiyo androd tv box..unaweza nielekeza kwa dar naipata wapi chief?
 
$_1.JPG

Hiyo inaitwa MHL to HDMI cable inapoint ya USB cable to smart phone point yake ya HDMI kuna connection USB cable pia mimi niliagiza on line naangalia kila kitu kwenye simu yangu kupitia TV hasa zote za Modbro lakini online streaming TV inakataa
Kama inakubali kwa mobdro ni nzuri pia sana tu...bei yake ikoje?
Means Tanzania hakuna kabisa hadi uagize?
 
$_1.JPG

Hiyo inaitwa MHL to HDMI cable inapoint ya USB cable to smart phone point yake ya HDMI kuna connection USB cable pia mimi niliagiza on line naangalia kila kitu kwenye simu yangu kupitia TV hasa zote za Modbro lakini online streaming TV inakataa
Pole mkuu mie kwangu inakubali kitu hadi games nacheza.ila nikaachana na hiyo mhl nikaamua kununua wifi nachomeka kwenye tv then naconnect mirascreen naenjoy kila kitu.
 
hizo technology zipo nyingi ila maarufu zaidi ni miracast na wifi direct, pia zipo DLNA, Airplay, Widi etc

unachotakiwa ni kuhakikisha tv yako na simu yako vyote vina hizo technology, almost simu zote zina DLNA ila ni simu chache zina miracast na DLNA hivyo hapa inabidi uwe makini.

Na smart tv zote zina hizo technology na baadhi ya tv ambazo sio smart pia zinazo, ila kwa uhakika nunua smart tv (zipo hadi za around laki 4)

pia kuna deki (dvd/bluray players), hometheatre na baadhi ya sabufa zina hizo miracast unaweza tumia pia kama kiungio cha simu na tv.

ila limitation ya hizo DLNA ni lazima simu na TV ziwe connected kwenye same network!
Yaani kwa maneno mengine uwe na WiFi router ambayo itakua ime connect simu na TV!
 
Av receiver pia.
 
baadhi ya vifaa vyenye built in wifi vyenyewe vinatoa network yake una connect na simu, kama unataka tu kuangalia video DLNA sio mbaya ila kama una matumizi mengi ikiwemo kustream haifai, miracast na widi ndio mpango mzima
 
Back
Top Bottom