Msaada: Ku ficha picha ktk Blackberry..

Msaada: Ku ficha picha ktk Blackberry..

tovuti

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
160
Reaction score
12
Wadau naomba msaada wenu, natumia BB curve, kwenye picha inanipa option ya ku hide picha, tatizo

sasa baada ya kuhide sijui zinakuwa zimejificha wapi.....naomba msaada wenu kujuwa wapi naweza kuziona

picha nilizo hide
 
Bwana Tovuti:ukiwa on home screen ingia kwny  then media halafu bonyeza  then explore then  show hidden,hapo utaweza kuziona na kumark unhide kama utapenda ziwe zinaonekana kawaida tu
 
Sina hakika, ila ukiingia kwenye menu, click menu bila kuchagua chochote. Then utaona option ya unhide. Afu uache kuwa na vitu vya kuficha ficha na wewe! Au uweke privacy passcode.
 
Natumia BB yenye OS 7, sioni hiyo option ya kuhide pic. Before nilikuwa natumia BB yenye OS 6 na hiyo option nilikuwa naiona directly kwenye pic properties. Naombeni msaada kwa anayejua namna ya kuhide pic or doc kwenye BB yenye OS 7
 
Shem beat option ni kutokuwa na picha zinazohitaji kufichwa. That is my solution. Msalimie mdogo wangu. Muambie nanenepa na mtori wa maza.

Back
Top Bottom