Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

Tafuta wataalamu wa IT umtie nguvuni atakulipa mpaka na fidia.
 
Huyo jamaa anatumia jina gani fb?
Nikazione kwanza ndo nije na ushauri wangu!
 
Weka username ya mshitakiwa ni mkomeshe kama vipi ni pm!
 
kama ni kweli, napata hisia kwamba aliripoti kupotelewa na simu poliz na akapewa RB. Kama hakuripoti aende polis akaseme kwamba amepoteza simu yake ya mkononi, na amampata mtu ambaye ameiokota na kaitumia ushahidi kwamba huyu mtu kaitumia ni hizo picha alizo upload kutoka kwenye simu yake.

sasa anachomshtakii ni kipi aseme kwamba amekuja kumfungulia kesi kwani anaatumia picha zilizopo kwenye simu yake vibaya. aeleze wazi kwamba simu yake ilikuwa ni chumba chake cha siri na kulikuwa na picha zake ambazo alizipiga mweneywe akiwa uchi kwaajili ya kujitizama yy sasa huyu mwizi wake anazitumia kwa namna mbaya na anamchafua kwenye mtandao.

heri iwe kesi ambayo uzembe ulitoka kwake lakini kosa aliatenda mtu mwingine.

at least mm ningemshauri hivi.
 
Ndio maana tunaaswa kufuata maadili ila tunajifanya vichwa rungu, tujifunze kwa hili sababu ya leo ni ya leo kukicha mambo yanabadilika.
 
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.

Mkuu huyo binti umesema amejipiga picha half naked, na zingine naked, lakini mbona ktk akaunti hiyo inaonesha live anafanya mapenzi na huyo bwana? Na ameahidi kutupia picha chafu zaidi? funguka vema zaidi kuhusu huo mkasa maana binti anaonekana hajalazimishwa.
 
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake akalipata,kaingia Facebook akafungua new account akaipa jina la Huyo binti.
Anachofanya now ana-upload picha moja baada ya nyingine kila siku na amempigia simu huyu binti anamwambia ampe laki 3 ili asitishe zoezi Na kufuta hiyo account..
Binti kachanganyikiwa now sababu hana hela Na nyumbani wakijua ni bonge LA msala na aibu coz mzee ni noma Na ni kiongozi wa dini ukizingatia na huu muda wa Ramadhani.
Nimejaribu kuchati jamaa kupitia account hiyo alipokuwa online asubuh amesema yuko serious Na sasa anaanza na video clip zilizomo!

Naombeni michango ya mawazo tumshauri nini cha kufanya kuhusu hili,Na je kuna uwezekano wa kufunga account au hiyo kwa njia tofauti au kama kuna sheria kumkamata na kumshtaki jamaa coz only kilichopo ni namba yake tu.
Inaelekea unataarifa za kutoisha kuhusiana na tukio hili. Mi naomba unifahamishe jinsi huyo aliyeokota simu alivyoweza kulitafuta jina la aliyedondosha hiyo simu na kulipata
 
Thanx Gf angalau umenipa wazo...sasa mnataka username tena.
OK,wanaotaka username mikono juu niwa PM!
 
Sasa Mpita Njia,ina maana Mimi nikilokota cm yako Leo kama ni mpekuzi makini nitashindwa kupata lako!Mfano mdogo no kwamba nikiji-Mpesa au Tigo Pesa nshakunyaka!
 
kwa kuwa kafanya ushetani kupiga picha za utupu,,,basi apitie njia hiyo hiyo ya ushetani kumnasa huyo shetani mwenzie
 
sasa alizo post itakuwaje..atazitoa hakuna ushauri hapo dawa nkumwacha tu atachoka..hata ukimpa laki 3.vipi kuhusu alizo post au upload?
 
Mkokolo ni kweli unachosema!!hats mi numekifikiria sana.Na hata ukisema unamlipa hakuna guarantee kwamba hatafanya hi yo tena!He may also have back it up sehemu nyingine!
 
Sasa Mpita Njia,ina maana Mimi nikilokota cm yako Leo kama ni mpekuzi makini nitashindwa kupata lako!Mfano mdogo no kwamba nikiji-Mpesa au Tigo Pesa nshakunyaka!

Mfalme Daudi mbona unapotezea? nauliza picha na hata video ya huyo binti mbona anaonekana anafanya mapenzi kwa ridhaa yake? kuna zaidi ya kupoteza simu hapo. hebu eleza nadhani ndipo utapata msaada. nimepitia hiyo akaunti so najua ninachokuuliza.
 
Si aweke tu mtego, wangapi wanakamatwa, mtegeshee hizo pesa anazodai. Adakwe umfungulie na kesi. Hivi TAKUKURU hawadili na rushwa za hivi au hii sio rushwa nayo? Mie makamera ya kwenye masimu nayaheshimu sana aisee........... hata ukiwa na mumeo faragha hakikisheni simu zimefungwa akhaa kwanza zinapunguzia concentration..................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom