Habari zenu
King'amuzi tajwa hapo juu kimepoteza Chanel 10 na TBC1...
Naomba msaada jinsi ya kuzirudisha..
Natanguliza shukrani
Mzee
Chukua remote control bonyeza MENU, scroll down kwenye SYSTEM SETTING halafu bonyeza OK kwenye remote control. Utaona system setting ina pande mbili, SETUP OPTIONS na CHANNEL SEARCH. Kwenye remote control bonyeza kitufe kinachoonesha uelekeo wa upande wa kulia (right navigation) halafu scroll down kwenye AUTOMATIC SEARCH halafu bonyeza OK, itaanza ku search channels upya.
Asante mkuu... Nimefanya yote hayo
Baada ya Chanel Search ..
Imeniletea haya
LNB Setting
SAT& TP Search
SAT & TP Management
Sijaona Auto Search.
Maelekexo aliyokupa mdau hapo juu ni ya kisimbuzi cha antennah.Asante mkuu... Nimefanya yote hayo
Baada ya Chanel Search ..
Imeniletea haya
LNB Setting
SAT& TP Search
SAT & TP Management
Sijaona Auto Search.
Asante mkuu... Nimefanya yote hayo
Baada ya Chanel Search ..
Imeniletea haya
LNB Setting
SAT& TP Search
SAT & TP Management
Sijaona Auto Search.
Pole sana mkuu.Asante mkuu... Nimefanya yote hayo
Baada ya Chanel Search ..
Imeniletea haya
LNB Setting
SAT& TP Search
SAT & TP Management
Sijaona Auto Search.