njombefinest
Member
- Jul 6, 2026
- 14
- 19
Wakuu habari za Leo naombeni msaada mwenye taarifa zozote juu ya mtaji, gharama za mashine, malighafi Kodi na tozo zote za serikali anisaidie hapa zinazohusiana na kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti
Natanguliza shukrani 🙏
Natanguliza shukrani 🙏