Nahirat
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 597
- 984
- Thread starter
- #61
I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku mojaMe nahc huyo bro wako Ni msiri wako Wenda na ww Unaleta vibwana vyak ndo mana unashndw kumchana Makav kw kuw unahc wend akaharb kw Mumeo. Haiwezkan ww umlete kwk af ushndw kumrekebxh. Wasting our time 4 non sense
Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri