Msaada: king'amuzi cha startimes hakionyeshi chaneli za nyumbani

Msaada: king'amuzi cha startimes hakionyeshi chaneli za nyumbani

mpatto

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
766
Reaction score
1,038
Ni siku ya tatu sasa, king'amuzi cha startimes kimekuwa hakionyeshi chaneli za tz kama vile tbc, startv, itv n.k. Cha ajabu ni kuwa, chaneli hizo hazipo hata kwenye ile orodha ya kuchagua chaneli. Nimejaribu kusearch lakini haijasaidia. Pia nimepiga simu startimes huduma kwa wateja, namba zote ziko bussy muda wote na mara nyingine hazipatikani. Sasa, natumai hapa kuna wajuzi wa hayo mambo, naomba msaada hata labda settings, au vyovyote vile!

Ahsante!

Cc StarTimes Tanzania
 
chukua remot bofya pale setting> then configuration (kama siijakosea), itakuomba password...jaza (000000) itafunguka , utachagua location, chagua tz. then search...local channels zote ziko hapo..
 
Ving'amuzi vizuri vya startimes ni vile vya zamani rangi ya SILVER kama hicho cha kwako ni rangi nyeusi ni majanga hayo
 
chukua remot bofya pale setting> then configuration (kama siijakosea), itakuomba password...jaza (000000) itafunguka , utachagua location, chagua tz. then search...local channels zote ziko hapo..
Nashukuru mkuu, ngoja nijaribu!!
...
Nimejaribu lakini wapi, kweli kuna input ya kuingiza password, lakini nikijaribu kufocus inaniambia decoder is locked!!
 
Nashukuru mkuu, ngoja nijaribu!!
...
Nimejaribu lakini wapi, kweli kuna input ya kuingiza password, lakini nikijaribu kufocus inaniambia decoder is locked!!
mkuu kuna sehem kuu mbili za kuingia paaword. 1, ambayo hapo nimekuelekeza yaani ukiingiza paaword ukapress OK manaake unakuwa umeformat decorder then ikabidi usearch channels upya na channel zitarudi katika upangilio ule ule na kama kuna zilizokuwa missed awali hapo zitatudi tu. sehem ya 2. ile ya parents control yaani unajaza paswed unarock channel ambayo hutaki mtu aifungue isipokuwa ww tu. ww umebofya wap? (sehem ya kuformat pameandikwa "default")
 
Nashukuru mkuu @isaac77.

Mimi nimebofya setting>decoder PIN setting
Na ndio hapa kuna sehemu ya kubadilisha password,

Current decoder PIN
New decoder PIN
Confirm decoder PIN

Sasa nikitaka labda kubadilisha, ndo inaniambia decoder pin is locked!!

Au nibonyeze wapi mkuu!?
 
kuu umeirock decoder
 
hiyo siyo sehem sahihili mkuu hapo ni sehem ya kuchange decoder pin
 
Sasa nibonyeze wapi mkuu!?
bofya setting > then shuka chini click "default" then jazz paswd(000000) then click"exit" hapo decoda it a format, changua location ya tz halafu search channels zitakuja.
 
bofya setting > then shuka chini click "default" then jazz paswd(000000) then click"exit" hapo decoda it a format, changua location ya tz halafu search channels zitakuja.
Nashukuru sana kwa msaada wako so far,
Lakini kimeshindwa kujiformat kwa sababu kinasema your decoder PIN is locked,

Tafadhari, labda kama kuna njia nyingine naweza kuifanya boss!!
 
Habar wakuu msaada tafadhali nami nimekutana na shida kama hiyo ya king'amuz cha STARTIMES cha antena kupoteza baadhi ya channel kama wasafi tv ,tv E,cloud tv ,statv,star swahili,na tbc1 ..mkuu issac77 CHIEF MKWAWA nawengineo msaada tafathali
 
Afadhali kumbe kisa hiki kimetukumba wengi mimi siku ya 5 zimekata gafla kote huko mnakoeleza nimepita sijafanikiwa ila nahisi kama hujalipia muda mrefu inawezekana wanatubrock maana wanaona hawapati faida mtu miezi mitatu minne hanunui kifurushi wanapata hasara .....mawazo yangu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom