Msaada ku reset password ya king'amuzi cha startimes

Msaada ku reset password ya king'amuzi cha startimes

kolelosi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
828
Reaction score
1,981
Wakuu heri ya pasaka na poleni wote mnaoishi mabondeni kwa wazazi wa Dar kwa mvua hii inayoendelea.

Pia tusisahau kuchukua tahadhari dhidi ya kujikinga na ugonjwa hatari wa korona.

Turejee kwenye kichwa cha habari hapo juu.

Wakuu nina king'amuzi cha star times nilikuwa sijakitumia muda mrefu kwa bahati mbaya ninesahau password hivyo kama kuna anayeweza kunipa namna ya kufanya niweze kukitumia.

Customers care hawana kabisa msaada tokea juzi nawapigia hawatoi majibu sahihi sana simu inakatwa na baadae hupati tena line.

DSTV mtuwekee channel za local kuliko haya mateso tunayoyapata.

Nina local channel napata ni tatu kupitia kwenye king'amuzi cha ndani ya TV
Nahitaji ipatikane ITV na zingine za FTA.
Chief-Mkwawa
Idimi
@Popah
na wote mnaofahamu hili karibuni kwa mawazo na mchango.
.
 
Wapigie customer care
0764700800
0677700800

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana msaada hawa watu niliwapata kwa tabu sana na mara zote hatujamaliza maongezi wanakata simu ukishawatajia tatizo wanakuambia subiri kidogo mara simu inakatwa.

Nimepiga kuanzia juzi naambiwa wapo busy mara zote ninazopiga.
Customer care ni janga kwa hawa watu
 
Nenda dukani kwao
 
kolelosi,
Follow these instructions clearly:
To reset password for your decoder, follow the following procedures;
Press Menu> Setting button (Blue button) > F1 (Red Button) > 1 > Project menu > Default pin > yes or no.
 
Nashukuru mkuu ila remote iko tofauti na hii uliyonielekeza ngoja niitafute hii remote
 
Back
Top Bottom