Msaada: Jinsi ya kubadili picha kitambulisho cha taifa NIDA

Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Iyo mbona unaruhusiwa mkuu, unalipia elfu 20 then wanakupiga picha upya.
 
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Kitumbukize kwenye maikrowevu weka joto la kati pasha kwa dakika 50 toa tumbukiza kwenye jiki kwa dakika 10, kitakuwa tayari.
 
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Kitambulisho changu nime renew nimepata leo baada ya miaka miwili kuisha.
 
Back
Top Bottom