Msaada jamani hiki ni nini?

Mchungaji kamtega huyo ili siku ya pili aende kanisani kwake akamle pesa
Mchungaji gani anaweza kuandika zindiko kama hilo we maalim ubwabwa vipi
Hebu msaidie huyo kufunua majini yenu
 
Sio kiarab no maneno ya kishirikina
 
Wajinga hao isikutishe chochote endelea na maisha yako.
 
Lengo la aliyeweka hapo ni kumtishia anayeishi hapo nyumbani.

Usiogope, kichome moto nje ya fanesi ya nyumba yako.
 
Pole, usiogope jipe moyo mkuu. Omba, ikiwezekana shirikisha na watu wa imani yako, kisha mchome vyote!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Duuuùùuuuuu si kwa huu mkitimoto..yani huu tunaula JF yote na tunabakiza
 
" Kuna sehemu nlikuwa napahitaji sasa mwenye eneo nimeongea nae vzr hataki kuniuzia, nikacheza na akili yake siku ya kwanza nikamnyoa paka vinyweleo vya shingoni afu nikampeleka mitaa anayokaa jiran jiran alipanick sana akaniita tulipiga sana maombi

Mara ya pili nikamnyonyoa kuku manyoya yote af nkamwachia aende kwa yule jiran.....yule jiran aliniita akanambia nipe Hela yeyote chukua Hili eneo maana wachawi wananisumbua sana" Rev Richard Hananja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…