Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,412
Nipe mbinu ya kujitoa mkuu.Mkuu mbona umeshadukuliwa.
🤣🤣🤣🤣🤣 Acha uongoMkuu mbona umeshadukuliwa.
Mkuu hiyo ni signal ya mtandao husika unapoweka line tu hiyo alama lazima itokee na isipotokea huwezi kupiga wala kupokea chochote, na kwenye hiyo signal huo ujazo upo nusu kutokana na nguvu ya mtandao kama kakijaa full basi mtandao upo vizuri lakini kakishuka basi mtandao unakuwa upo chini, ila kwenye kila simu kapo huwa vinatofautiana jinsi ya muonekano, kwenye simu kama yangu kuna mistari imejipanga kuanzia mfupi hadi mrefu, mrefu ukiondoka na kubakia mifupi maana yake signal ni ndogo na ikitokea yote kuanzia mfupi hadi mrefu signal ipo vizuri
Ok, nimeelewa sasa, na mimi nasubiria wajuziHujaelewa swali mkuu. Anaongelea hio duara sio hizo signal. Hako ka doti
Mkuu siyo custom rom.Nikiwasha data pia inakuwepo.Aina ya simu ni Mi A2 lite.Mara nyingi dot hutokea ikiwa status bar imejaa, sema hio yako imeunganika kabisa na network. Ukiwasha data pia inakuwepo?
Ni custom rom hio?
A2 lite ina stock android, so ni same, ukipunguza idadi Y icon juu kwenye status bar bado kinakuwepo?Mkuu siyo custom rom.Nikiwasha data pia inakuwepo.Aina ya simu ni Mi A2 lite.
Mkuu sijajua jinsi ya kupunguza.Nimegoogle ila nimekwama.A2 lite ina stock android, so ni same, ukipunguza idadi Y icon juu kwenye status bar bado kinakuwepo?
Namaanisha kama kuna icon nyengine za notification uzi clear zote ili zibake chache, kidoti kinaondoka?Mkuu sijajua jinsi ya kupunguza.Nimegoogle ila nimekwama.
Manake wazee wa kazi wamesha kuzuum bado mda mchache wakutie kibindoni..Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini?
Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
View attachment 1989727
View attachment 1989726
🤣🤣 Aisee wacha nami nimtisheUlikopa SONGESHA na BRANCH sasa wameungana na washakujua ulipo