Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

jamaa anakuletea bahasha .....alaf unataja kumuuliza anajua au hajui?,?, ungekua wewe unapewa bahasha umpelekee mwenzio bila kujua nini kipo ndani.....ur dead
 
Hii comment ni mpya na imenishtua sana, kwamba pengine hawana uhusiano na ni wapiga dili wote wawili. Nimewaza blackmail inataka kufanyika. But niliwaona wote pamoja kwenye Family Day ya ofisini kwa Jamaa.


Sasa kuwaona pamoja ndiyo kuhalalisha kuwa ni mtu na mkewe!

Acha stori mulizie anakaa wapi iliufanye utafiti wa kutosha!
Ila kuna mambo manne.

  1. Mama kabanwa na anataka atokee kwako maana kashazoea kuchepuka(Fumanizi)
  2. Jamaa anataka starehe (bwawa)
  3. Mamaa anataka starehe(Mchepuko)
  4. Wanataka kukuharibia Kazi au kukutengenezea Dili(Fumanizi na wapige Pesa)
 
Ongea na mumewe then wasaidie kama shida ni mtoto na wapotezee, kwani nini bhana, umepewa buree toa buree
 
Jumbe za simu naweza kuzihifadhi, ila hela ukweli nimekula. Ikiwezekana kama ni hoteli nitampeleka hoteli za vichochoroni kwa bei rahisi, pia kubadili hoteli itakua ni salama zaidi.

hhahahahahahaha..............usichezee 'benjamins' kabisa!uziache mnpaka leo unaziogopea nini!???
umenichekesha sana mkuu
 
Hii stori yako huenda ikawa inafanana na movie moja ya will smith inayoitwa focus
Mdada anajipendekeza kwako mkienda kwa hotel inatokea fumanizi ya kufoji
Be careful mjini watu wanaishi kwa akili
 
Shark update thread kwahiyo imekuwaje up to now
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua class mate wangu wa primary ila hatukua na mazoea kivile kipindi hicho. Jamaa hatujazoeana kihivyo ila tunajuana tu kwa sura na ofisi tunazofanyia kazi.

Kama miezi miwili nyuma ofisini kwa huyu jamaa kulikua na family day ambapo ndugu wa staff wa ofisi yao walikua wanakutana ofisini kisha wanaenda wenyewe kuspend wanakokujua ndio nikabahatika kumuona mkewe huyu jamaa tukasalimiana na mkewe, na tukatambulishana na jamaa pia mambo yakawa poa.

Issue ilikuja kua baada ya siku chache after ile shughuli yao, yule jamaa akawa ananitafuta, kuonana akanipa namba ya mkewe kwamba ananitafuta. Mi kumpigia mkewe akadai kua alikua ananizimikia toka primary na anashukuru sana ameniona. Anataka japo tuwe wapenzi a.k.a michepuko tu. Kusema ukweli sikutaka kumsikiliza nikakata ile simu na nikawa sipokei tena simu yake. Next day yule jamaa (mumewe) akanifuata ofisini kuniambia Mkewe analalamika kwanini nilimkatia simu jana yake.

Baada ya kama wiki hivi yuleyule mumewe akanipa na bahasha imepigwa stapler, kuifungua ni ujumbe kutoka kwa mkewe kua ananipenda sana na anataka tuwe wapenzi. Kaweka na $70.00 pamoja na siku + direction ya kukutana mahali nikifika nilipie chumba tufanye yetu. Yaani ujumbe huu umepitia kwa mumewe!!!!!!!!!!!!!!. Nilishangaa sana nikasema huu mtego ama vipi. Jioni yake nikapata msg kutoka kwa mkewe kuulizia kama nilipata ujumbe kupitia kwa mumewe, nikamjibu kua niliupata ila nitampa jibu.

Kesho yake wakati niko lunch nakula, mume wa yula ex-mate akaja kuniuliza kua why simjibu mkewe mpaka ye anasumbuliwa kila mara kunitafuta. Nilitaka nimuulize kama anajua kitu kinachozungumziwa ama lah ila nikasita. Nilimjibu tu kua nafuatilia nitamjibu mkewe nilipofikia. Nikamuuliza mkewe kwanin anawasiliana na mimi issue za kuchepuka kupitia mumewe? anamchukulia vipi mumewe? Ni ----- ama vipi.

Sasa jana nimepewa appointment kua wikiend hii tukutane hoteli fulani hivi, ujumbe umekuja kupitia kwa yuleyule mumewe lakini kupitia bahasha, na safari hii ameweka $100.00 na Tshs 50,000/= ya hoteli na Taxi. Tena Mumewe kasisitiza niharakishe hii issue (anaijua???) iishe mapema maana yeye amechoka kusumbuliwa. Nimeshindwa kuwaelewa hawa Mtu na Mkewe, sielewi huyu jamaa ni ----- kihivyo au kuna mipango inaendelea nyuma ya pazia. Wadau naombeni ushauri wenu, niko njia panda!!

Hii stori ni ya uongo na kama ni ya kweli basi mwite huyo mmewe na umwoneshe ujumbe wa mkewe na umuulize kama anaelewa mkewe anakutafutia nini na muulize je yeye anaunga mkono hiyo ussue?
 
Haki ya nani, ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. How possible on earth this thing?? I don't get it!!
hapa kuna mambo kadhaa na yote ni ya hatari tupu:
1. Ushirikina
2. Blackmail (status yako shark ikoje??)
3. Biashara ya viungo vya mwili mf. Figo, n.k.

Hilo la mtoto nachelea kuliamini kwani je wewe Shark unafanana na huyo jamaa hata kwa rangi or umbile/sura ili kwamba tuseme labda wamekuangalia wakaona unacho kimojawapo ktk hayo na hiyo itawasaidia wao kuficha siri yao (kwa maana kwamba wanaamini labda mtoto atafanana angalau na huyo jamaa ilhali ukweli wanaujua wao) ??


Mmh ila bro, unachezea bomu unalofikiri litaanza "ku-count down" kabla ya kulipuka so unaweza kusepa mapema.
 
Sio kwamba mumewe ni Mume-bweg.e au anamuamini sana mkewe? Au nae ananiona mimi ndio bweg.e karibia naingia mkenge? Nimefikiria nimuulize huyu jamaa kama anaaelewa tunachozungushana na mkewe muda wote lakini roho inasita.

Mkuu chukua ushauri wa everlyn salt utaliwa mchana kweupe usikubali kuingia mkenge.....jamaa hawezi kua ----- kiasi hicho possible hizo barua ua anazifungua
 
Last edited by a moderator:
jamaa naona pesa unataka mzigo hutaki uule/uliwe...naamini wewe ni rijali....ushawahi chepuka? mara ya kwanza ilikuwaje? kama hujawahi hakikisha unarudisha hizo pesa fasta.......na waambie ukweli kwamba uko busy sana,,,, na huyo jamaa mtume nae kwa mkewe,,,,hutaki vifurushi tena....ukila umeliwa....maamuzi ni yako......
 
Back
Top Bottom