Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Mh! Hizo pesa na bahasha zikusanye kama zilivo kuja alafu mkionana na mmewe lunch mwambie naomba tuonane weekend sehem flan then na mkewe vile vile mtaarifu kwa sms mkutane eneo moja na mmewe ila usmtaarifu kama mmewe atakuwepo,
wakishafika ndio mda wa kuwaambia kuwa hupendi ujinga na pesa zao wakabidh ikiwezekana nenda na yf wako au grlfrnd uwatambulishe.

Hii ya kuwakutanisha pia imetulia sana
 
Sio kwamba mumewe ni Mume-bweg.e au anamuamini sana mkewe? Au nae ananiona mimi ndio bweg.e karibia naingia mkenge? Nimefikiria nimuulize huyu jamaa kama anaaelewa tunachozungushana na mkewe muda wote lakini roho inasita.

Muulize na kama hajui mwambie..you will b more safe..wakaparurane wenyewe wakuache.
 
Mume wa huyo dada anaitamani tigo yako ,sasa ameona ataipata bila usumbufu akikufumania na mke wake.
 
wewe jifanye huelewi kinachoendelea huku ukiendelea kukusanya pesa zikishatosha za kununua basi la kwenda mikoani hama mji vinginevyo ipo siku utajikuta huna ngozi na umeishiwa pumzi
 
Kuna mabwabwa wengi wako kwenye ndoa! na huu utandawazi si ajabu kuona mwanaume anamkuwadia mkewe, ila kwa vyovyote ni watu wakukaa nao mbali! kama unashida ya nyapu tafuta ila hiyo ya kuletewa haina munkari na ina walakini mkubwa ipotezee

Hata Mimi nyapu ya kujileta bila kuitwa huwa sipakui napita mbali kabisa
 
Wadau,

Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua class mate wangu wa primary ila hatukua na mazoea kivile kipindi hicho. Jamaa hatujazoeana kihivyo ila tunajuana tu kwa sura na ofisi tunazofanyia kazi.

Kama miezi miwili nyuma ofisini kwa huyu jamaa kulikua na family day ambapo ndugu wa staff wa ofisi yao walikua wanakutana ofisini kisha wanaenda wenyewe kuspend wanakokujua ndio nikabahatika kumuona mkewe huyu jamaa tukasalimiana na mkewe, na tukatambulishana na jamaa pia mambo yakawa poa.

Issue ilikuja kua baada ya siku chache after ile shughuli yao, yule jamaa akawa ananitafuta, kuonana akanipa namba ya mkewe kwamba ananitafuta. Mi kumpigia mkewe akadai kua alikua ananizimikia toka primary na anashukuru sana ameniona. Anataka japo tuwe wapenzi a.k.a michepuko tu. Kusema ukweli sikutaka kumsikiliza nikakata ile simu na nikawa sipokei tena simu yake. Next day yule jamaa (mumewe) akanifuata ofisini kuniambia Mkewe analalamika kwanini nilimkatia simu jana yake.

Baada ya kama wiki hivi yuleyule mumewe akanipa na bahasha imepigwa stapler, kuifungua ni ujumbe kutoka kwa mkewe kua ananipenda sana na anataka tuwe wapenzi. Kaweka na $70.00 pamoja na siku + direction ya kukutana mahali nikifika nilipie chumba tufanye yetu. Yaani ujumbe huu umepitia kwa mumewe!!!!!!!!!!!!!!. Nilishangaa sana nikasema huu mtego ama vipi. Jioni yake nikapata msg kutoka kwa mkewe kuulizia kama nilipata ujumbe kupitia kwa mumewe, nikamjibu kua niliupata ila nitampa jibu.

Kesho yake wakati niko lunch nakula, mume wa yula ex-mate akaja kuniuliza kua why simjibu mkewe mpaka ye anasumbuliwa kila mara kunitafuta. Nilitaka nimuulize kama anajua kitu kinachozungumziwa ama lah ila nikasita. Nilimjibu tu kua nafuatilia nitamjibu mkewe nilipofikia. Nikamuuliza mkewe kwanin anawasiliana na mimi issue za kuchepuka kupitia mumewe? anamchukulia vipi mumewe? Ni ----- ama vipi.

Sasa jana nimepewa appointment kua wikiend hii tukutane hoteli fulani hivi, ujumbe umekuja kupitia kwa yuleyule mumewe lakini kupitia bahasha, na safari hii ameweka $100.00 na Tshs 50,000/= ya hoteli na Taxi. Tena Mumewe kasisitiza niharakishe hii issue (anaijua???) iishe mapema maana yeye amechoka kusumbuliwa. Nimeshindwa kuwaelewa hawa Mtu na Mkewe, sielewi huyu jamaa ni ----- kihivyo au kuna mipango inaendelea nyuma ya pazia. Wadau naombeni ushauri wenu, niko njia panda!!

Kuna haja ya kumuambia ukweli classmate wako km akiendelea kukufuatilia utamueleza Mmewe la sivyo itakugharimu.
 
Inamaana we unadhan mumewe hajajua tu kua kutumwa huko anavyotumwa ni isue za kmapenz unadhan ajajua bado...haha anajua vzur km mkewe anakutongoza ila tu labda kuna issue wameipanga ye na mkewe juu yako..kuwa makini bro hilo penz halikufai
Nikizikagua bahasha hua zinakuaga hazijafunguliwa. Na chanzo cha ujumbe wake kupitia bahasha anavyodai ni sababu mimi sitoi ushirikiano kwenye simu. Nimewaza kua kama ni mchezo wanaandaa basi naweza kuwachezea na mimi mchezo nikala hela na mke na wasinishike ili wajue kua "Muosha Huoshwa" na pia "Akuanzae Mmalize". Yaani kama wao wanadhani mimi zoba basi wao ndio mazoba kweli.
 
Jumbe za simu naweza kuzihifadhi, ila hela ukweli nimekula. Ikiwezekana kama ni hoteli nitampeleka hoteli za vichochoroni kwa bei rahisi, pia kubadili hoteli itakua ni salama zaidi.

umekula hela???? mhh
 
Pamoja na yoote,nahisi hii story ni ya kutungwa.

Duh,
Nitunge ili iweje? Kuna faida yeyote ya kutunga story? We saidia tu mawazo ili kama ni ya kweli au ya kutunga ibaki Kwangu mwenyewe.
 
umekula hela???? mhh

Nimekula kweli. Tarehe za katikati ya mwezi hua ngumu kidogo. After all zile hela hazikua mkopo au hakunipa nimshikie. Ila itakapobidi nitamrudishia.
 
Yani kuna wanaume wengine hawana msimamo kabisa subiri uliwe 0713
 
Mabadiliko tu mkuu, jamaa hasimamishi anatafuta pa kutokea. Kubali na umpe kura Lowassa.
 
Kiukweli mme anajua maana ndio mshenga, unaingia katika hatari ambayo taijutia maishani mwako, yawezekana kuna jambo ulimtendea zama hizo huyo, mwanamke
 
Huna haja ya kumuuliza mme wake, wewe jua mke anafanya kazi wapi, muibukie hukohuko
 
Back
Top Bottom