Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,973
- 30,154
- Thread starter
- #41
Mkuu,Shwain kabisa...... we pumba kabisa..... unataka kumkanyaga mke wa mwenzio kama unakanyaga baiskeli....
Sheikh ushamzimikia huyo na kifuatacho ITV ni wewe kubanduliwa Big G uliyokalia
Ningekua nimeshakata shauri la kumkanyaga nisingekuja hapa kuomba ushauri. By the way yeye mke wa mtu ndio anaetaka kukanyagwa na mimi!!