Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Wadau,

Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua class mate wangu wa primary ila hatukua na mazoea kivile kipindi hicho. Jamaa hatujazoeana kihivyo ila tunajuana tu kwa sura na ofisi tunazofanyia kazi.

Kama miezi miwili nyuma ofisini kwa huyu jamaa kulikua na family day ambapo ndugu wa staff wa ofisi yao walikua wanakutana ofisini kisha wanaenda wenyewe kuspend wanakokujua ndio nikabahatika kumuona mkewe huyu jamaa tukasalimiana na mkewe, na tukatambulishana na jamaa pia mambo yakawa poa.

Issue ilikuja kua baada ya siku chache after ile shughuli yao, yule jamaa akawa ananitafuta, kuonana akanipa namba ya mkewe kwamba ananitafuta. Mi kumpigia mkewe akadai kua alikua ananizimikia toka primary na anashukuru sana ameniona. Anataka japo tuwe wapenzi a.k.a michepuko tu. Kusema ukweli sikutaka kumsikiliza nikakata ile simu na nikawa sipokei tena simu yake. Next day yule jamaa (mumewe) akanifuata ofisini kuniambia Mkewe analalamika kwanini nilimkatia simu jana yake.

Baada ya kama wiki hivi yuleyule mumewe akanipa na bahasha imepigwa stapler, kuifungua ni ujumbe kutoka kwa mkewe kua ananipenda sana na anataka tuwe wapenzi. Kaweka na $70.00 pamoja na siku + direction ya kukutana mahali nikifika nilipie chumba tufanye yetu. Yaani ujumbe huu umepitia kwa mumewe!!!!!!!!!!!!!!. Nilishangaa sana nikasema huu mtego ama vipi. Jioni yake nikapata msg kutoka kwa mkewe kuulizia kama nilipata ujumbe kupitia kwa mumewe, nikamjibu kua niliupata ila nitampa jibu.

Kesho yake wakati niko lunch nakula, mume wa yula ex-mate akaja kuniuliza kua why simjibu mkewe mpaka ye anasumbuliwa kila mara kunitafuta. Nilitaka nimuulize kama anajua kitu kinachozungumziwa ama lah ila nikasita. Nilimjibu tu kua nafuatilia nitamjibu mkewe nilipofikia. Nikamuuliza mkewe kwanin anawasiliana na mimi issue za kuchepuka kupitia mumewe? anamchukulia vipi mumewe? Ni ----- ama vipi.

Sasa jana nimepewa appointment kua wikiend hii tukutane hoteli fulani hivi, ujumbe umekuja kupitia kwa yuleyule mumewe lakini kupitia bahasha, na safari hii ameweka $100.00 na Tshs 50,000/= ya hoteli na Taxi. Tena Mumewe kasisitiza niharakishe hii issue (anaijua???) iishe mapema maana yeye amechoka kusumbuliwa. Nimeshindwa kuwaelewa hawa Mtu na Mkewe, sielewi huyu jamaa ni ----- kihivyo au kuna mipango inaendelea nyuma ya pazia. Wadau naombeni ushauri wenu, niko njia panda!!

Mkuu hawa watu kuwa makini nao... inawezekana anavyomuagiza mumewe anamuambia ishu tofauti kabisa ...na baadhi yetu wanaume huwa tunawaamini wake zetu tukiishi bila kumfuatilia kabisa... hapo ndipo mwanamke anapokugeuza kuwadi bila kujua.. achana naye huyo Delila atakuweka katika ugomvi mbaya sana.
 
mkuu, hao jamaa ni WAUAJI! shtuka kabla hujageuzwa nyama.
 
kuna sehemu umesema ulimuuliza mkewe kwanini anawasiliana na wewe issue za michepuko kupitia mumewe na anamchukuliaje lakini hujaandika jibu lake
 
Shark ndugu yangu nimebaki na bumbuwazi kwa kwel ...yani thread zako za utata tu what a concidence its for u 😕😕
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua class mate wangu wa primary ila hatukua na mazoea kivile kipindi hicho. Jamaa hatujazoeana kihivyo ila tunajuana tu kwa sura na ofisi tunazofanyia kazi.

Kama miezi miwili nyuma ofisini kwa huyu jamaa kulikua na family day ambapo ndugu wa staff wa ofisi yao walikua wanakutana ofisini kisha wanaenda wenyewe kuspend wanakokujua ndio nikabahatika kumuona mkewe huyu jamaa tukasalimiana na mkewe, na tukatambulishana na jamaa pia mambo yakawa poa.

Issue ilikuja kua baada ya siku chache after ile shughuli yao, yule jamaa akawa ananitafuta, kuonana akanipa namba ya mkewe kwamba ananitafuta. Mi kumpigia mkewe akadai kua alikua ananizimikia toka primary na anashukuru sana ameniona. Anataka japo tuwe wapenzi a.k.a michepuko tu. Kusema ukweli sikutaka kumsikiliza nikakata ile simu na nikawa sipokei tena simu yake. Next day yule jamaa (mumewe) akanifuata ofisini kuniambia Mkewe analalamika kwanini nilimkatia simu jana yake.

Baada ya kama wiki hivi yuleyule mumewe akanipa na bahasha imepigwa stapler, kuifungua ni ujumbe kutoka kwa mkewe kua ananipenda sana na anataka tuwe wapenzi. Kaweka na $70.00 pamoja na siku + direction ya kukutana mahali nikifika nilipie chumba tufanye yetu. Yaani ujumbe huu umepitia kwa mumewe!!!!!!!!!!!!!!. Nilishangaa sana nikasema huu mtego ama vipi. Jioni yake nikapata msg kutoka kwa mkewe kuulizia kama nilipata ujumbe kupitia kwa mumewe, nikamjibu kua niliupata ila nitampa jibu.

Kesho yake wakati niko lunch nakula, mume wa yula ex-mate akaja kuniuliza kua why simjibu mkewe mpaka ye anasumbuliwa kila mara kunitafuta. Nilitaka nimuulize kama anajua kitu kinachozungumziwa ama lah ila nikasita. Nilimjibu tu kua nafuatilia nitamjibu mkewe nilipofikia. Nikamuuliza mkewe kwanin anawasiliana na mimi issue za kuchepuka kupitia mumewe? anamchukulia vipi mumewe? Ni ----- ama vipi.

Hapo akajibu nini ????? Usilete story za kitoto
 
Ulpomuuliza mkewe kama mme wake anajua kinachoendelea alikujibuje?
 
kuna sehemu umesema ulimuuliza mkewe kwanini anawasiliana na wewe issue za michepuko kupitia mumewe na anamchukuliaje lakini hujaandika jibu lake

Alinijibu niwe na amani tu moyoni, ila nimeandika mahali pia sababu ni kua nimeonyesha kutokua na ushirikiano na simu.
 
Hao sio wapenzi wala mtu na mke wake.
Unatengenezewa kesi ya kuchukua zaidi ya ulichowekeza.
 
Mkuu,
Ningekua nimeshakata shauri la kumkanyaga nisingekuja hapa kuomba ushauri. By the way yeye mke wa mtu ndio anaetaka kukanyagwa na mimi!!
Hahahaha denial hufanyika hata kama mtu amekamatwa on spot akimeng'enyua kiuno cha mmeng'enyuliwaji....
Wajua kujirusha na mke/mme wa mtu sio mbaya, but why mawasiliano yapitie kwa mumewe? Nina uhakika mumewe hua hafunguagi bahasha za mkewe?
Kuna mtu kaniambia sheria inasema mtu akifumaniwa inabidi alipe hela kiasi fulani, haiwezi kua napangiwa kufumaniwa ili nilipe fidia??
Ni wewe kweli unayasema haya au?
Sasa kama siyo mbaya kuchojoa mke wa mtu, unachohofia ni nini? Peleka uchochoroni gesti za buku tano hukamatwi huko
 
Vitu hivyo vipo Huku Kwa bongo sizani....fikiria vizuri kale mzigo huo. Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anatafuna wife Huku jamaa kakaa pembeni anaangalia. Na siku ya kwanza kuonana nao mmewe ndio alianza kuongea na mshikaji.
 
Wadau,

Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua class mate wangu wa primary ila hatukua na mazoea kivile kipindi hicho. Jamaa hatujazoeana kihivyo ila tunajuana tu kwa sura na ofisi tunazofanyia kazi.

Kama miezi miwili nyuma ofisini kwa huyu jamaa kulikua na family day ambapo ndugu wa staff wa ofisi yao walikua wanakutana ofisini kisha wanaenda wenyewe kuspend wanakokujua ndio nikabahatika kumuona mkewe huyu jamaa tukasalimiana na mkewe, na tukatambulishana na jamaa pia mambo yakawa poa.

Issue ilikuja kua baada ya siku chache after ile shughuli yao, yule jamaa akawa ananitafuta, kuonana akanipa namba ya mkewe kwamba ananitafuta. Mi kumpigia mkewe akadai kua alikua ananizimikia toka primary na anashukuru sana ameniona. Anataka japo tuwe wapenzi a.k.a michepuko tu. Kusema ukweli sikutaka kumsikiliza nikakata ile simu na nikawa sipokei tena simu yake. Next day yule jamaa (mumewe) akanifuata ofisini kuniambia Mkewe analalamika kwanini nilimkatia simu jana yake.

Baada ya kama wiki hivi yuleyule mumewe akanipa na bahasha imepigwa stapler, kuifungua ni ujumbe kutoka kwa mkewe kua ananipenda sana na anataka tuwe wapenzi. Kaweka na $70.00 pamoja na siku + direction ya kukutana mahali nikifika nilipie chumba tufanye yetu. Yaani ujumbe huu umepitia kwa mumewe!!!!!!!!!!!!!!. Nilishangaa sana nikasema huu mtego ama vipi. Jioni yake nikapata msg kutoka kwa mkewe kuulizia kama nilipata ujumbe kupitia kwa mumewe, nikamjibu kua niliupata ila nitampa jibu.

Kesho yake wakati niko lunch nakula, mume wa yula ex-mate akaja kuniuliza kua why simjibu mkewe mpaka ye anasumbuliwa kila mara kunitafuta. Nilitaka nimuulize kama anajua kitu kinachozungumziwa ama lah ila nikasita. Nilimjibu tu kua nafuatilia nitamjibu mkewe nilipofikia. Nikamuuliza mkewe kwanin anawasiliana na mimi issue za kuchepuka kupitia mumewe? anamchukulia vipi mumewe? Ni ----- ama vipi.

Hapo akajibu nini ????? Usilete story za kitoto

Achana na hao wapuuzi, ikiwezekana waseme live yeye na Mumewe
 
Hao sio wapenzi wala mtu na mke wake.
Unatengenezewa kesi ya kuchukua zaidi ya ulichowekeza.

Hii comment ni mpya na imenishtua sana, kwamba pengine hawana uhusiano na ni wapiga dili wote wawili. Nimewaza blackmail inataka kufanyika. But niliwaona wote pamoja kwenye Family Day ya ofisini kwa Jamaa.
 
Mkuu hakikisha muda wote unakuwa na kikopo cha mafuta ya rays kinaweza kukusaidia hapo naona kila dalili ya kuliwa 0713
 
mwenyewe nimehisi kitui kama hicho-nazani angeuliza bint kaolewa lini na kama wana watoto au la then ajaribu ku.connect dots hapo-inawezekana wameoana lakini hawana watoto na mwanaume ndo mwenye shida so walishafanya maridhiano kivyao ikawa hajapatikana wa accomplish hio deal-so far kwa kuwa binti alikuwa na feeling na Shark akapresent kwa mumewe akakubalika ili waokoe ndoa-ILA HUU NI MTIZAMO WANGU TU-INAWEZA KUWA HUO NI MTEGO.cha muhimu Shark akikupangia hoteli kubali lakini mkiwa njiani badili nenda kiwanja unachotaka wewe na kataa mechi siku ya kwanza-na mpeleke mazingira ya kawaida ili umsome kwanza

Huyu mke hakuwahi kudhania kama atakutana na wewe, amekutana na wewe ghafla kupitia kwa mumewe anataka kuzini na wewe. Shida yake ingekuwa mwanaume hata kama ni wa kuzaa naye asingekosa hadi akusubiri wewe ambaye hakudhani kama mtakutana. Huyo mwanamke ana pesa na nadhani ni mzuri (sopusopu) maana wanawake wa mjini wenye uwezo huwa ni wazuri na wanavutia sababu wanaweza kujitengeneza. Hivyo sidhani kama shida ni mwanaume angeshampata kirahisi sana kisha kama ni shida ya mimba angeachana naye bila huyo mwanaume kujua kama amemjaza.

Hiyo issue wote wawili wnaijua

Duniani hapa hakuna kitu cha bure i.e. there is no free lunch
 
Back
Top Bottom