Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,973
- 30,154
Kama ndio basi inakula kwako, uzungu huo sina.
Nimejaribu kuwakwepa, hata leo mchana nimepiga deshi na nimetoa agizo kwa receptionist kua jamaa akija kuniulizia amwambie sipo.
Hii comment ni mpya na imenishtua sana, kwamba pengine hawana uhusiano na ni wapiga dili wote wawili. Nimewaza blackmail inataka kufanyika. But niliwaona wote pamoja kwenye Family Day ya ofisini kwa Jamaa.
Kama sio mimba basi ni ushirikina
wamesha kutazama kishirikina wameona 'kitu'
cc mshana jr MziziMkavu