Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Au hadindi na anahitaji mtoto. Nimefikiria pia au wanaheshimiana Privacy issues za kila mmoja wao.

Kuna mabwabwa wengi wako kwenye ndoa! na huu utandawazi si ajabu kuona mwanaume anamkuwadia mkewe, ila kwa vyovyote ni watu wakukaa nao mbali! kama unashida ya nyapu tafuta ila hiyo ya kuletewa haina munkari na ina walakini mkubwa ipotezee
 
Fuatilia vizuri, nani ana mamlaka katika familia yao, ukikuta ni mwanamke, basi ni zaidi ya upendo (japo unaweza kuudhibiti), ukikuta ni mwanaume, FUNGA MAZOEA upesi, something serious is around the corner
 
Mwambie aongee mambo hayo mkiwa nyote watatu yaani wewe, yeye na mumewe ndio utajua wana.msimamo gani
 
labda utengenezewe fumanizi au mkewe kweli anakutaka kimahaba
 
Kiongozi
Hilo ni bomu la kujitoa muhanga, mke wa mtu ni hatari sana. Tena kuna wanawake siku hizi wametawala waume zao usipime. Wanaume wanaendeshwa kwa remote. Yaweza kuta mwanaume hajui kinachoendelea yeye anadanganywa ni issue nyingine kabisa.
Kuna kama hilo limemtokea jamaa yangu mmoja, mke wa mtu kampenda akamtongoza na ukicheki binti analipa.. Ila jamaa yake kamweka kiganjani.
Jamaa kampakua weee kanogewa, alipokuja kushtuka mwenye mali akamvukia maji akaenda Pemba akamletea popobawa. Jamaa alikonda kama ana kansa ya moyo, kwa kuto kulala kila akisinzia jamaa wanashughulika na mtandao pendwa 0713. Nakuambia jamaa mpaka alipoenda kuomba msamaha na kuvushwa maji kwenda Pemba tena ndio mchezzo ukastop. so nilijifunza sana.
OGOPA MKE WA MTU,NI SUMU KWELI KWELI USIDANGANYWE NA PESA.
 
Ungeuliza kuwa wana watoto?
nilishawahi kuweka kisa humu cha Ujerumani zamani
kuna alimlipa tu atembee na mkewe ili wapate watoto
kumbe alielipwa nae hawezi pia...na yeye kabambikiwa watoto na mkewe
walienda hadi mahakamani

ndicho nnachohisi hata mm vinginevyo mmmh kisa cha pekee sana
 
Kiongozi
Hilo ni bomu la kujitoa muhanga, mke wa mtu ni hatari sana. Tena kuna wanawake siku hizi wametawala waume zao usipime. Wanaume wanaendeshwa kwa remote. Yaweza kuta mwanaume hajui kinachoendelea yeye anadanganywa ni issue nyingine kabisa.
Kuna kama hilo limemtokea jamaa yangu mmoja, mke wa mtu kampenda akamtongoza na ukicheki binti analipa.. Ila jamaa yake kamweka kiganjani.
Jamaa kampakua weee kanogewa, alipokuja kushtuka mwenye mali akamvukia maji akaenda Pemba akamletea popobawa. Jamaa alikonda kama ana kansa ya moyo, kwa kuto kulala kila akisinzia jamaa wanashughulika na mtandao pendwa 0713. Nakuambia jamaa mpaka alipoenda kuomba msamaha na kuvushwa maji kwenda Pemba tena ndio mchezzo ukastop. so nilijifunza sana.
OGOPA MKE WA MTU,NI SUMU KWELI KWELI USIDANGANYWE NA PESA.

Safi sana mkuu!!,nimependa comment yako inaelimisha sana.
 
Inamaana we unadhan mumewe hajajua tu kua kutumwa huko anavyotumwa ni isue za kmapenz unadhan ajajua bado...haha anajua vzur km mkewe anakutongoza ila tu labda kuna issue wameipanga ye na mkewe juu yako..kuwa makini bro hilo penz halikufai
 
Jiongeze kidogo, muulize mumewe anajua nini mkewe anachofuatilia? Then msikie jibu lake halafu utajua cha kufanya. Pengine wamepanga wote kuna tatizo ndani yao. Vipi wamejaliwa kupata watoto?

Jibu zuri sana..mm naona ukweli utakuweka huru..ask the husband kama anajua chochote..kama hajui mwambie yote then uskilizie..
kitu kngne kuwa makini inaezekana ni wagonjwa na ukute unachezewa mchezo..b open b honest
 
Back
Top Bottom