Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

Mkuu kuhusu mtoto sijauliza. Ila siwaelewi hasa huyu jamaa. Saa zingine nikikutana nae lunch hua namkwepa nachukua take away. Nabaki najiuliza hivi haya mambo ni kweli ama naota. Nilifikiri kama hana uwezo wa kumpa mkewe mimba basi siko tayari kupoteza damu yangu bure

Acha roho mbaya...unabania kisperm kimoja tuu...????
 
Acha maswali Mengi fuata maelekezo, si anataka kugegedwa na ushaidi unao unaogopa nini ?na bado mimi nipo kukupa ulinzi.

Ulinzi ili nikupe $50?? Ha ha ha.

Inawezekana (w)anachohitaji wala hakihitaji Ulinzi wa Mtu
 
Acha roho mbaya...unabania kisperm kimoja tuu...????

Sio hivyo mkuu, Kispem kimoja in exchange with what? What might be the use of that kisperm kimoja? And how sure I am that sperm ndio inayohitajika hapa?
 
Tugawane hiyo dola mia nipe 50, mi nakuja nawanangu wawili tunakuwekea ulinzi mkali hata wa obama cha mtoto ukamgegede huyo dem,na mme wake akija kuleta soo tunamgegeda sisi sawa?

sasa we nae,unaniquote me kwani ndie nilieleta mada?magufuli anawachachafya sana huko site eeh?
 
Haya maneno yanaonyesha una mpango wa kukutana naye, ushapanga utakavyojihami. Kwa nini unataka kujiongezea shida wakati dunia imejaa shida za kutosha.
Naweza nikakutana nae hapo na tukabadili kiwanja na simu ya mkewe nikaificha. Ila je ni kweli wako njama moja na mumewe? Au ye hajui anageukwa?
 
Shark hii ni kiukweli ukweli kabisa sio chai?????

Yaani naitafakari siipatii picha.....

Labda wanataka kukuchuna ngozi
 
Last edited by a moderator:
Naweza nikakutana nae hapo na tukabadili kiwanja na simu ya mkewe nikaificha. Ila je ni kweli wako njama moja na mumewe? Au ye hajui anageukwa?
Shwain kabisa...... we pumba kabisa..... unataka kumkanyaga mke wa mwenzio kama unakanyaga baiskeli....

Sheikh ushamzimikia huyo na kifuatacho ITV ni wewe kubanduliwa Big G uliyokalia
 
Sio hivyo mkuu, Kispem kimoja in exchange with what? What might be the use of that kisperm kimoja? And how sure I am that sperm ndio inayohitajika hapa?

Hahaa kama kuna malengo mengine sijui mi nilikuwa naongelea case ya sperm..... I was just asking myself how can one be so mean over one sperm? After all u give it out of your own pleasure.....kidding
 
Tugawane hiyo dola mia nipe 50, mi nakuja nawanangu wawili tunakuwekea ulinzi mkali hata wa obama cha mtoto ukamgegede huyo dem,na mme wake akija kuleta soo tunamgegeda sisi sawa?

Jf ni tamu sana aisee,ni stress free,maana nimecheka mno leo na hii coment
 
Ni vizuri ukafanya uchunguzi kujua wanatafuta nini kwako , maana hii sio issue ya kawaida.
 
Ungeuliza kuwa wana watoto?
nilishawahi kuweka kisa humu cha Ujerumani zamani
kuna alimlipa tu atembee na mkewe ili wapate watoto
kumbe alielipwa nae hawezi pia...na yeye kabambikiwa watoto na mkewe
walienda hadi mahakamani
Isee!!!
 
Shark hii ni kiukweli ukweli kabisa sio chai?????

Yaani naitafakari siipatii picha.....

Labda wanataka kukuchuna ngozi
Hii ni ya ukweli BADILI TABIA,
Hapa kuna mawili, either wako plan moja wote wawili au Mume ni Zoba hajui plan za mkewe. Lakini huyu mdada anaweza kufikiri kumchuna ngozi mtu ambae alikua nae primary??
 
Last edited by a moderator:
Tugawane hiyo dola mia nipe 50, mi nakuja nawanangu wawili tunakuwekea ulinzi mkali hata wa obama cha mtoto ukamgegede huyo dem,na mme wake akija kuleta soo tunamgegeda sisi sawa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!!
 
Fuatilia kwa makini ujue nia yao ni ipi.Je mumewe anajua or ni mipango ya huyo mwanamke
 
Sio kwamba mumewe ni Mume-bweg.e au anamuamini sana mkewe? Au nae ananiona mimi ndio bweg.e karibia naingia mkenge? Nimefikiria nimuulize huyu jamaa kama anaaelewa tunachozungushana na mkewe muda wote lakini roho inasita.

Uje umuulize "samahani bro hivi unajua mkeo huwa anakutuma nini.
 
Back
Top Bottom