Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Rudisha kwao huyo...rule no. 1. Pale unapoanza kumchukulia mwanamke kwa moyo wa kihuruma huruma basi unaanza kupoteza mvuto wako km mwanaume..huwez mridhisha binadamu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf hamnaga dogo kaka wa watu kajishusha katambua kosa mnakuja na mskombola yenu

pole mwaya la kufanya twambie una sh ngap tukusaidie mawazo

hapa nashindwa kukupa mawazo kumbe kipato chako kidogo
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanza halalisha mahusiano yenu ikiwa ni Pamoja na kutambulika Nyumbani kwao ikiwezekana Oa kabisa ili Mtaji utakao mpa uwe na tija ya kuendeleza na kuongeza kipato cha Familia.

Pia Muulize kama kweli ana wito wa Biashara? Usije Mpa Mtaji ukaendeleza ukorofi wako mwisho wa siku Biashara ikafaa kwa kuwa umeshasema wewe ulikuwa mkorofi hadi kupelekea akawa na stress mno
 
Jf hamnaga dogo kaka wa watu kajishusha katambua kosa mnakuja na mskombola yenu

pole mwaya la kufanya twambie una sh ngap tukusaidie mawazo

hapa nashindwa kukupa mawazo kumbe kipato chako kidogo
 
mwache apambane na hali yake. .. lkn ht ww ni mchaw tuu CAMIN KM ULMPENDA KWEL km ungempend kwel ucngexabbsh aDisco et unajcf kadisco kw ajl yk af ss hv et unajfany unampenda Kutafuta Faraja y Kinafk... Shit....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo mzee umepewa condition kuwa kwa kuwa wewe ndo umesababisha ni lazima umpatie mtaji si ajabu kakamatwa na nondo kafukuzwa chuo...
au uwezo mdogo alishidwa kuwa busy na course work anawezaje kuwa busy kwa kazi ya kujiajiri?
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmejaribu kuappeal?

Asiondoke kirahisi chuo namna hiyo,kudisco saa zingine ni technical error za pande zote mbili,student na college.ambazo hua zinatatulika.

Ushauri wangu kaeni chini msome vizuri examination regulations zote kisha muone mnafanyaje..kuondoka chuo iwe last option.

Mimi nitafurahi endapo ataendelea na masomo,akielimika mtoto wa kike jamii nzima imeelimika.

NB.mimi nilidisco mara mbili na nilitengua disco zote.
 
Wewe umefanya makusudi ili mtoto wa watu afail ili akufanyie biashara zako na ili umtawale kwasababu kama unajua wewe ni chanzo na unampenda kweli usingemfanyia hivi cha msingi mtafutie ada ya kumsomesha aanze upya chuo kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.

Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
Huwezi jua jamaaa alikuwa anapigisha katereroo bi dada akinuniwa tu anachanganyikiwa. Nawaza tu

driller⛏⚒
 
hapo mzee umepewa condition kuwa kwa kuwa wewe ndo umesababisha ni lazima umpatie mtaji si ajabu kakamatwa na nondo kafukuzwa chuo...
au uwezo mdogo alishidwa kuwa busy na course work anawezaje kuwa busy kwa kazi ya kujiajiri?
GpA mkuu haiko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom