Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

MECH wameliwa madogo 15 naskia, mpaka IE wameliwa vichwa
Nimesikia Mzee afu me ndo naingia hiyo second year. ..hadii nshaanza kuogopa, nasikia kuna wanaume wawilii Tesha na Msemwa ni hatriii tupu

Nokia ya Torch
 
Nimesikia Mzee afu me ndo naingia hiyo second year. ..hadii nshaanza kuogopa, nasikia kuna wanaume wawilii Tesha na Msemwa ni hatriii tupu

Nokia ya Torch
ukiingia kwa tahadhari huwezi kuliwa kichwa, ukirelax kidogo tu wanakula kichwa, kakaze dogo 15 sio mchezo
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini anaweza na pia ana asili ya kichaga nataka nimpe mtaji aanzishe biashara.

Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu.

Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usiwe na stress mkuu. Sa msichana anasoma makinikia unataka awe romantic? Huyo kafeli kwa stress zake sema kakuona chambo. ILa mtoe tuu maana hamna namna.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kanza halalisha mahusiano yenu ikiwa ni Pamoja na kutambulika Nyumbani kwao ikiwezekana Oa kabisa ili Mtaji utakao mpa uwe na tija ya kuendeleza na kuongeza kipato cha Familia.

Pia Muulize kama kweli ana wito wa Biashara? Usije Mpa Mtaji ukaendeleza ukorofi wako mwisho wa siku Biashara ikafaa kwa kuwa umeshasema wewe ulikuwa mkorofi hadi kupelekea akawa na stress mno
Ushauri mujarabu
 
Back
Top Bottom