Dada wa kazi anani-blackmail baada ya kutembea naye

functional

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
732
772
Habari za muda huu wapendwa?

Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika huyu dada nilimuona kama mtoto mdogo sana, baada ya kumaliza kama wiki hivi, nilianza kumzoea taratibu taratibu pia yeye alianza kunizoea kiaina.

Siku moja alitaka kwenda kuoga akawa amejifunga kanga moja halafu akanitania kwa kusema “shemeji twende tukaoge wote” na mimi nilimjibu kwa utani huku nikitabasamu na kusema “tangulia shemeji”.

Basi alipotoka bafuni tena akaniambia “mbona umenidanganya shemeji?” Nilishangaa kwani mimi nilichukulia kama ni utani tu kumbe alikuwa anamaanisha kweli. Wakati yupo chumbani nilisikia sauti yake tena akiniita nilipofika eti ananiuliza mafuta ya kupaka, nikamuelekeza sehemu yalipo.

Kabla sijaondoka eti ananiambia “naomba unisaidie kunipaka mafuta shemeji”. Duuh niliogopa sana maana huyu binti japo alikuwa ni mdogo lakini alikuwa na bonge la chura. Basi wakati naendelea na zoezi la kumpaka mafuta mara nikamsikia akitoa miguno ambayo siielewielewi.

Uzalendo ukamshinda na kuniambia “shemeji naomba unisaidie najisikia hamu kweli shemeji yangu”. Nami bila hiyana nilimpa dozi kweli kweli mpaka akasema shemeji sikuachi.

Tatizo limeanza pale alipofukuzwa na wife kwa kosa la utovu wa nidhamu. Cha ajabu ananilalamikia eti nimelala nae bila kumpa chochote. Mara anasema nimemaliza shida zangu halafu simjali tena. Ananitumia meseji za vitisho, anasema kama nataka kuendelea kuishi basi nimpe hata milioni moja afanye kama mtaji aanzishe biashara yeyote la sivyo patachimbika.

Sasa naombeni ushauri wadau huyu dada ana maana gani?
 
Due dilligence ya haraka haraka imeonyesha una vistory vingi vya kuunga unga vya uongo na kweli.
Hii chai yako ya leo nimegoma kuinywa

Screenshot_20201109-210548.png


Screenshot_20201109-210433.png
 
Back
Top Bottom