Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

ha ha ha sicheki kwa mazuri ila jamani masomo ya science ni magumu mno...ukiingia kuyasoma ujipange haswaa.

Eyoo mtoa mada kila mwanamke ana interest zake kabla hujafungua biashara yoyote inabidi umuulize kwanza anaweza nini..mwingine unakuta ana mkono wa ufugaji au ukulima na si biashara ya frame.Kingine kama anaweza mwambie apply hata certificate level ya course ya fani anayoipenda inaweza kumsaidia.Alafu upunguze ubabe,Mapenz kudekezana atii.
Asante da charty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini anaweza na pia ana asili ya kichaga nataka nimpe mtaji aanzishe biashara.

Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu.

Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama ulisababisha akafeli nadhani hata hiyo biashara itafeli.. muhimu badilika wewe kwanza
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini anaweza na pia ana asili ya kichaga nataka nimpe mtaji aanzishe biashara.

Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu.

Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasababishia watoto wa wenzenu matatizo halafu mnakuja kuomba msaada,kwanini hukujali hisia zake mapema kapata matatizo ndo unatafuta msaada!
 
ningekua mimi ndio wewe na umekiri kuwa we ndo sababu ya huyo bibie kudisco,basi zawadi pekee ya kumpa huyo binti ili kumfariji ningefanya mpango nimuoe kabla huu mwezi haujaisha then mengine baadae.
afu we nae mpaka karne hii bado unadate na vianafunzi tu?
 
cha kufanya muulize kwanza anataka kufanya biashara gani ndo uumpe mtaji
 
kama ni CoET mwaka wa pili umekaza kimtindo hutakiwi kujilaumu mkuu, kuliwa kichwa mwaka wa pili ni kama wema kupimwa mkojo tu
Mkuu second year nasikia moto unawaka. ...kama department ya MIE ndo nasikia balaa tupu

Nokia ya Torch
 
Back
Top Bottom