Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

Jaaribu kwanza kuchunguza interest zake. Si kila mtu ana mkono wa biashara, lakini vile vile kama issue ndo imetokea sahivi sidhani kama ni muda muafaka wa kufanya uamuzi kama huo..unaweza kuwa uamuzi wa kukurupuka na wewe ukaingiza hela huko mambo yakafeli akaja kukuambia kipindi kile bwana akili haikuwa imetuliza kwa hiyo sikuweza kuwaza vizuri nachotaka kufanya. Otherwise wewe inabidi umsikilize kwanza mawazo yake yana uelekeo gani kabla ya kutoa wazo la nini afanye..Pole sana, its not the end of the road..tunatakiwa kuwasupport kwa wanachofanya siyo kuwa stress factor hadi mtu anadisco chuo
 
. Au unacho cha dhahabu kaka??[/QUOTE]
Alooooo jamani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Jaaribu kwanza kuchunguza interest zake. Si kila mtu ana mkono wa biashara, lakini vile vile kama issue ndo imetokea sahivi sidhani kama ni muda muafaka wa kufanya uamuzi kama huo..unaweza kuwa uamuzi wa kukurupuka na wewe ukaingiza hela huko mambo yakafeli akaja kukuambia kipindi kile bwana akili haikuwa imetuliza kwa hiyo sikuweza kuwaza vizuri nachotaka kufanya. Otherwise wewe inabidi umsikilize kwanza mawazo yake yana uelekeo gani kabla ya kutoa wazo la nini afanye..Pole sana, its not the end of the road..tunatakiwa kuwasupport kwa wanachofanya siyo kuwa stress factor hadi mtu anadisco chuo
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.

Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
Huyo nae zwazwa kudisco au?
 
maji yakishamwagika hayazoleki. Angalia interest yake anapenda nini zaidi ukikaa na wadada wengine wanaongelea sana kuhus mavazi wengine kuhusu farniture za ndani na mengineyo, mtafutie mlango mfungulie saloon ya kisasa (vifaa vyake sio ghali sana) ndani yake anaweza kuweka makabati madogo na akauza mafuta ya nywele na perfume utakuwa umemsaidia mitaa ya tabata ni mizuri zaidi
 
Huyo atakuwa demu wa coes...processing nadhani ( nahisi namfahamu)....mpe pole pia mtaji unategemea anataka kufanya biashara gani
 
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.

Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jisaidie kitu kimoja , acha mbwembwe , afu usijitie mapana umFungulie biashara gani , kama hela anayo kama unavyo unesha mjengee nyumba awe anapangisha atakushukuru sana ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom