4000 kwa kitu muhimu kama gas sio mbaya maana ukinunua unaishi nayo let's say mwezi ishu inakuja vitu vikiongezeka ambavyo vinatumika sana na kununuliwa mara kwa maraNitatumia mkaa mkuu. Shukrani sana.
Kuna kipindi bei ilikuwa inategemea na kampuni.Tunasemaga Dar maisha mepesi kumbe michezo tu. Mtungi mdogo Arusha ni 22,000, mkubwa 45,000 sijajua kwa mwezi huu May
Tutarudi kupikia umeme.. zile induction cooker wanadai zinatumia umeme kidogo
Kweli imepanda!
Wanazijaza kwa mshuzi yao 😅Pole sana mkuu, nnje ya mada ,hivi wale waliopewa majiko ya gesi kipindi cha uchaguzi ya kiisha gesi wanajaziwa huko lumumba?