Msaada: Gesi ya kupikia imepanda bei au napigwa?

Msaada: Gesi ya kupikia imepanda bei au napigwa?

Attachments

  • Screenshot_20260513-142819_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260513-142819_WhatsApp.jpg
    230 KB · Views: 7
Huko kwa kuhamia sasa😂🙌🏾
Bei wanajipangia au Kuna utaratibu?
Wanajipangia itakuwa.. kila mtu anajificha kwenye kichaka cha kupanda bei kwa mafuta na vita za wengine 😂

Ingekuwa ni bei inapangwa wangekuwa na. bei moja wote..

Mabus yalipandisha nauli ile April.. May mafuta yalipozidi bei mbona hawajapandisha tena? Ila hiace ndo zimebaki kutukomoa
 
Naona watu wanalaumu Serikali sasa tuongee ukweli tu kupanda vitu bei tuilaumu serikali ya Tz au trump na serikali yake waloanzisha vita visivyo na kichwa wala miguu hlf kuna watu humu walikua wakifurahia kile kinachoendelea kule Iran hya sasa ndo matokeo yake
 
Wanajipangia itakuwa.. kila mtu anajificha kwenye kichaka cha kupanda bei kwa mafuta na vita za wengine 😂

Ingekuwa ni bei inapangwa wangekuwa na. bei moja wote..

Mabus yalipandisha nauli ile April.. May mafuta yalipozidi bei mbona hawajapandisha tena? Ila hiace ndo zimebaki kutukomoa
Watajua waoo😂😂
Kuna post hapo imeonesha bei mpya.
 
,Naona watu wanalaumu Serikali sasa tuongee ukweli tu kupanda vitu bei tuilaumu serikali ya Tz au trump na serikali yake waloanzisha vita visivyo na kichwa wala miguu hlf kuna watu humu walikua wakifurahia kile kinachoendelea kule Iran hya sasa ndo matokeo yake
Kabla hata ya vita, gari ilikua ishazama , sema mbuzi kafia kwa muuza supu tu
 
Back
Top Bottom