Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Wakuu nina voda phone VF300 nataka kuunlock nitumie laini zoteeee msaada plz
nck androidmtk module ndo solution yako, chagua by cpu then 6582, meta connection then direct unlock
 
Mwenzenu kashtakiwa kwa kuflash simu zilizofungiwa na tcra.
 
Mwenzenu kashtakiwa kwa kuflash simu zilizofungiwa na tcra.
kuna aliyepost cmu iliyofungiwa na TCRA hapa?, by the way huwa sifanyi hzo kazi za imei changing
 
ukiweka line tofauti na airtel inadai networkunlock code au ni emergency calls/
Naomba nisikujibu hili maana nitadanganya... nikifika ilipo simu nitakujulisha bosii tuianiloki bhana inaninyima uhondo.
 
kuna aliyepost cmu iliyofungiwa na TCRA hapa?, by the way huwa sifanyi hzo kazi za imei changing
Kuwa positive basi. Nimewakumbusha tu wanaoflash simu sio wewe peke yako. Wapo wanaoflash zilizofungiwa. So calm down IT IS SATURDAY!
 
Kuwa positive basi. Nimewakumbusha tu wanaoflash simu sio wewe peke yako. Wapo wanaoflash zilizofungiwa. So calm down IT IS SATURDAY!
thank u sir,bt it was jst a question....
 
Mkuu kuna huawei hapa ya rafk angu hizi Y330 za promo za tgo, yaani kila akiiwasha inachukua muda mrefu sana kuwaka normally alafu ina process hii kitu "Android is upgrading....." noma sana inaifanya kuchukua muda zaidi wa kuwaka kawaida, solution ni nini?
 
Mkuu nimekutana na maajabu leo. Hii simu kuna mtu aliishiwa akaniuzia sasa alinambia inatumia airtel tu...mimi nikaidump ila baada ya kusoma huu uzi nikasema ngoja niifanyie kazi cha ajabu nimeweka line ya mtandao mwingine imekubali.

Sorry kwa kukusumbua ila pia asante imenisaidia kugundua haipo locked.
 
jaribu fanya factory data reset naamini itatatua tatizo... cmu imekuwa nzito na inaweza kusababishwa na cmu kuwa na data nyingi au kuna partition ambayo haiko sawa na kwa case yako huenda bootloader haiko sawa
 
hakuna usumbufu ndugu
 
jaribu fanya factory data reset naamini itatatua tatizo... cmu imekuwa nzito na inaweza kusababishwa na cmu kuwa na data nyingi au kuna partition ambayo haiko sawa na kwa case yako huenda bootloader haiko sawa
Mkuu factory data reset tuliifanyia lakini problem ya android is upgrading bado ipo palepale haijatoka.
 
wakuu kwenye huu uzi, mobile software ndo profession yangu ingawaje ni LLB holder. mara nyingi huwa napenda kushare skiils nilizo nazo kwa weny uhitaji na huwa napenda kushirikiana na watu ili niwe najifunza vitu vipya pia.. dream yangu haikuwa kuishia kushare skills na contents hapa JF pekee bt nina wazo la kuwa na website/blog ambapo itakuwa na collection ya flash files, softwares na tutorials kuhusu mobile software with 24/7 support for totally free. bi adimu sana kupata baadhi ya files hasa kwa mfano cmu za samsung hasa zile advanced kama huna tool yenye server files na zilizoko kwenye mitandao utadownload in limited transfer rate not more than 15kbps kama wew si paid member bt nafikiria kuwa nafanya downloading from my tools server then upload them to my web and u can download at ur own speed.. kuna baadhi ya cmu hasa za kitanzania zaidi kwa mfano halotel na hata magnus bravo za airtel ambazo huwezi kuzipata mtandaoni unless una backup from another phone, nataka nifanye web ya kitanzania kwa ajili ya watanzania kuhusu all kind of mobile software.. nahitaji web developer kwa ajili ya kufanya design ya hyo website. nlishaonana na programmers kadhaa bt wengi wako kifedha zaidi.. nahitaji msaada ilivtusaidie wengine, niko tayari kuface costs za uendeshaji kama vile purchase of domain name na mengineyo
 
Back
Top Bottom