Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Mkuu mi nipo dar na shughuli zangu nataka nizifanyie mbagala rangi tatu..watu ni mchanganyiko kiasi
 
Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa

miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.

kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....

lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi

pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...

lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia

lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
 
Well said. Na mimi pia nilimshauri jamaa. Ili umiliki box inatakiwa pesa ikiwa yuko town means kuna simu aina mbalimbali
 
angalia soko lako mkuu, halafu ufanye research. yapo mabox yanaflash mediatek, kuna snapdragon kuna ya samsung etc, kuna mabox yanatoa lock za simu kama huawei mengine hayatoi, mengine yana support nzuri mengine hayana etc

cha muhimu angalia soko na simu gani zinakuja sana hapo halafu ndio ufanye maamuzi.
'Ushauli mzuri' hata hivyo km Unajua kuflash simu huwezi kuuliza aina ya tools (We sell what we know a customer is going to buy not what we think a customer is going to buy)
 
Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa

miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.

kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....

lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi

pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...

lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia

lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
Siyo kweli kwamba huhitaji tools na hiyo asilimia yako ni ya uongo
 
Ushauli mzuri hata hivyo km Unajua kuflash simu huwezi kuuliza aina ya tools (We sell what we know a customer is going to buy not what we think a customer is going to buy)
Sikubaliani na kauli yako...learning is a process hizo theory ndo zinazuia wengi kuthubutu usitake kila mtu afuate njia moja....sorry but kuuliza ni njia ya kujifunza na nawashukuru sana baadhi ya wakuu ambao wamekuwa so positive...
 
Wata kushauli kununua tools ambazo wanaziskia lakini kiutendaji siyo wame kushuri ununue Volcano box sawa
 
'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.

ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
 
ipo humu jukwaani bure, just search utaipata
 
Kizuri share na wenzako mkuu
 
Cracked unataka kuiuza??

Www.firmwareroot.blogspot.com/2016/02/miracle-box-227a-full-cracked-without.html
 
'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.

ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
Aise naihitaji Mimi nikutafutie sh ngapi
 
Back
Top Bottom