Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

hebu nicheki pm ili tuulizane na tueleweshane vizur nahc hapa tutakera others who are not interested... au weka phone no nkuchek
Nahisi unauzoefu na mimu naleta shida yangu apa,,, na simu yangu ilitoka china moja kwa moja inaitwa oppo, haisapoti mfumo wa android, so siwez kuinstal app then nw imevunjika kioo (touch) naweza pata msaada wa kuirekebisha kwa kuiflash na kupata touch ingine
IMG-20170412-WA0033.jpeg
IMG-20170412-WA0035.jpeg
 
Nahisi unauzoefu na mimu naleta shida yangu apa,,, na simu yangu ilitoka china moja kwa moja inaitwa oppo, haisapoti mfumo wa android, so siwez kuinstal app then nw imevunjika kioo (touch) naweza pata msaada wa kuirekebisha kwa kuiflash na kupata touch ingine View attachment 499491View attachment 499493
kuhusu kubadilisha touch nakushauri ungeenda k koo km upo dar coz cna uwezo nalo.. kuhusu installation ya app km cmu yako ni android unaweza download APK PURE ikawa ndo market yako ukapata apps zote ktk mfumo wa apk.. labda iwe na operating system tofauti na android
 
itakuwa ni errors kwenye installation.. unataka kuitumia kwa ajili ya cmu zipi? coz naamini nck na miracle zitakuwa na solution mbadala ya falcon
nilitaka kuicheki na kuielewa tu ila nahitaji sana ku unlock vodafone vfd 300 nikacheki kwamba nck box v2.5.6.3 inauwezo huo but sijapata crack zake
 
nilitaka kuicheki na kuielewa tu ila nahitaji sana ku unlock vodafone vfd 300 nikacheki kwamba nck box v2.5.6.3 inauwezo huo but sijapata crack zake
nck nilishapost link yake, pitia juu utaiona
 
nck nilishapost link yake, pitia juu utaiona
mkuu mm ni begginer ktk ishu za cracked flash tool nmejarbu kufuata link zako nmedownload kuptia cmu nkaziweka kwenye pc zmenigomea vp niganyaje?msaada Plz[emoji122]
 
io vfd 300 ina tatizo la network au inagoma kumaliza kuwaka
nataka kui unlock tu mkuu so sijajua tool ipi nitumie maana hii ya nck na avenger katika list za simu za kuinlock haipo
 
Back
Top Bottom