raisi wa dar
New Member
- Jan 21, 2025
- 2
- 5
Habari za muda wana JF,
Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe.
Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa kwa hapa? Na kama inalipa, ni location gani nitafute eneo naweza kukimbiza sana?
Nimewaza hii biashara kutokana na mtaji wangu. Pia nimesikia kuna chuo cha UDOM kinataka kufunguliwa, kwa hiyo wanafunzi watakuwa wengi.
Ila kikubwa, wazoefu naombeni mnipe ABC za hiyo biashara kwa hapa Njombe. Nitashukuru sana. Pia hata kwa biashara nyingine mnaweza kunishauri, maana sina mtu sahihi wa kunishika mkono.