Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

Achana na chips mr. You will end up feeding those skirts na utafilisika tu. Tafuta site yeyote ufanye biashara ya nafaka imean hata frame sehemu and leta those nafaka unapima kwa kilo but first ulipie frame miezi 3 then ulete choroko, njugu mawe, beans kila type cjui dengu yani nafaka then ukae mwenyewe na uwe na WI FI hapo ambayo utapata watu 8 wanakulipa 10k monthly utanishukuru badae. Na sharti la kwanza ukae mbali na sketi kwa mda biashara ishike kwanza na pili uhakikishe umeshka mama ntilie wanakuja unawakopesha jion wanaleta hela hapo maisha london. Chips achana nazo na nisikusikie tena unaongelea hayo madude. Na biashara ikishka uniambie nikupe kingne cha kufungua hayo mazingira. 1.5m unaweza kuifanya ndan ya miez mitatu ikawa 4m kwa sharti la kupunguza matumizi yasiyo ya lazma
 
Habari za muda wana jf
Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe.
Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa maana chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaujua vizurii wanielekezee hii biashara INALIPA kwa hapa. 2 na kama INALIPA ni location gani nitafute eneo naweza kukimbiza sana.
Nimewaza hii biashara kutokana na mtaji wangu pia nimesikia Kuna chuo Cha udom kinataka kufunguliwa kwaiyo wanafunzii watakuwa wengi

ILA KIKUBWA WAZOEFU NAOMBENII MNIPE ABC ZA HIYO BIASHARA KWA HAPA NJOMBE NITASHKURU SANA PIA HATA KWA BIASHARA NYINGNE MNAWEZA NISHAURI MAANA SINA MTU SAHIHI WAKUNISHIKA MKONO

Sasa umetumia IDs zako zote mbili kwa Ujumbe mmoja. Pole.
 
Kama upo serious njoo Pemba. Kuna mganga unampa milion 1. Hizo nyingine laki 5 ufanye nauli na matumizi yako. Utakaa kwake siku 3 anakufanyia kisomo unarudi kwenu siku 3 tu tajiri. Yeye unamlipa tsh 1Mil Hana gharama kabisa.
 
Achana na chips mr. You will end up feeding those skirts na utafilisika tu. Tafuta site yeyote ufanye biashara ya nafaka imean hata frame sehemu and leta those nafaka unapima kwa kilo but first ulipie frame miezi 3 then ulete choroko, njugu mawe, beans kila type cjui dengu yani nafaka then ukae mwenyewe na uwe na WI FI hapo ambayo utapata watu 8 wanakulipa 10k monthly utanishukuru badae. Na sharti la kwanza ukae mbali na sketi kwa mda biashara ishike kwanza na pili uhakikishe umeshka mama ntilie wanakuja unawakopesha jion wanaleta hela hapo maisha london. Chips achana nazo na nisikusikie tena unaongelea hayo madude. Na biashara ikishka uniambie nikupe kingne cha kufungua hayo mazingira. 1.5m unaweza kuifanya ndan ya miez mitatu ikawa 4m kwa sharti la kupunguza matumizi yasiyo ya lazmi
Achana na chips mr. You will end up feeding those skirts na utafilisika tu. Tafuta site yeyote ufanye biashara ya nafaka imean hata frame sehemu and leta those nafaka unapima kwa kilo but first ulipie frame miezi 3 then ulete choroko, njugu mawe, beans kila type cjui dengu yani nafaka then ukae mwenyewe na uwe na WI FI hapo ambayo utapata watu 8 wanakulipa 10k monthly utanishukuru badae. Na sharti la kwanza ukae mbali na sketi kwa mda biashara ishike kwanza na pili uhakikishe umeshka mama ntilie wanakuja unawakopesha jion wanaleta hela hapo maisha london. Chips achana nazo na nisikusikie tena unaongelea hayo madude. Na biashara ikishka uniambie nikupe kingne cha kufungua hayo mazingira. 1.5m unaweza kuifanya ndan ya miez mitatu ikawa 4m kwa sharti la kupunguza matumizi yasiyo ya lazma
Hii idea nzurii but hapahap njombe au unamaanisha kwa wapi?
 
Kama upo serious njoo Pemba. Kuna mganga unampa milion 1. Hizo nyingine laki 5 ufanye nauli na matumizi yako. Utakaa kwake siku 3 anakufanyia kisomo unarudi kwenu siku 3 tu tajiri. Yeye unamlipa tsh 1Mil Hana gharama kabisa.
Unaongea wakat wewe ni tajiri tiyar Mr au
 
Habari za muda wana JF,

Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe.

Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips.

Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa kwa hapa? Na kama inalipa, ni location gani nitafute eneo naweza kukimbiza sana?

Nimewaza hii biashara kutokana na mtaji wangu. Pia nimesikia kuna chuo cha UDOM kinataka kufunguliwa, kwa hiyo wanafunzi watakuwa wengi.

Ila kikubwa, wazoefu naombeni mnipe ABC za hiyo biashara kwa hapa Njombe. Nitashukuru sana. Pia hata kwa biashara nyingine mnaweza kunishauri, maana sina mtu sahihi wa kunishika mkono.
Kwenye maeneo ya watu wa kazi kama njombe, biashara ya chips siyo ya kutegemea sana. Uza ugali na mboga zake, chips nenda Zenj na pwani.
 
Karibu njombe mkuu, nilishawahi fanya research ya biashara kwa njombe mjini ukiotea sehemu nzuri inalipa sana na wabena ni kama wameisahau wote wamekimbilia kwenye maduka ya nguo na kuuza mafuta ya alizeti, si unaona babu chips anavyopiga pesa pale na ofisi yake ipo local sana

Mchawi ni kupata eneo tu, anza kutafuta eneo maeneo ya karibu na soko kuu, ile njia ya jd hotel, mitaa ya matalawe buguruni, kwivaha, chaugingi, nzenge, mji mwema, njiapanda ya nazareth nk

Muhimu: ukipata eneo tengeza ofisi ya maana mzee utapiga hela mzee
 
Kabla hujaanza hiyo biashara jaribu kuomba kazi kwa hao wauza chipsi hasa mtaa wa dhambi ( national, mgendera, kwivaha ) piga kazi kama wiki hivi ndiyo utajua mwenendo mzima wa biashara.

Maeneo mazuri kwa hiyo biashara ni mitaa ya msikitini maana kuna pub nyingi na wapenda starehe sana,

Pia mtaa wa chaugingi nako panafaa sana

Na mtaa wa buguruni

Ambapo utahitajika kuwa na huduma safi kuvutia vijana na mabinti.

Watanzania bado tunashida.Umesema vyema sana.

Kitu chochote ambacho wewe bado mgeni, kuliko KUJILIPUA NI HERI MARA MIA UANZE KWA KUJITOLEA HATA KWA UJIRA MDOGO kisha baada ya muda utajipima kama ufanye unachotaka kufanya au uache.

Hatupendi kujifunza ila tunawaza faida.

📌BIASHARA INATAKA UWAZE KWANZA KUULINDA MTAJI KISHA NDIO UWAZE KUPATA FAIDA.

NB;KIJANA KULA DEIWAKA KWANZA HAPO TOWN KATI MENYA VIAZI KUBALI KUTUMWA TUMWA. NDANI YA MWEZI UTAKUWA UMESHAPATA MWANGA WA HIYO BIASHARA.
 
Karibu njombe mkuu, nilishawahi fanya research ya biashara kwa njombe mjini ukiotea sehemu nzuri inalipa sana na wabena ni kama wameisahau wote wamekimbilia kwenye maduka ya nguo na kuuza mafuta ya alizeti, si unaona babu chips anavyopiga pesa pale na ofisi yake ipo local sana

Mchawi ni kupata eneo tu, anza kutafuta eneo maeneo ya karibu na soko kuu, ile njia ya jd hotel, mitaa ya matalawe buguruni, kwivaha, chaugingi, nzenge, mji mwema, njiapanda ya nazareth nk

Muhimu: ukipata eneo tengeza ofisi ya maana mzee utapiga hela mzee
Nashkur kk vp upo njombe
 
Watanzania bado tunashida.Umesema vyema sana.

Kitu chochote ambacho wewe bado mgeni, kuliko KUJILIPUA NI HERI MARA MIA UANZE KWA KUJITOLEA HATA KWA UJIRA MDOGO kisha baada ya muda utajipima kama ufanye unachotaka kufanya au uache.

Hatupendi kujifunza ila tunawaza faida.

📌BIASHARA INATAKA UWAZE KWANZA KUULINDA MTAJI KISHA NDIO UWAZE KUPATA FAIDA.

NB;KIJANA KULA DEIWAKA KWANZA HAPO TOWN KATI MENYA VIAZI KUBALI KUTUMWA TUMWA. NDANI YA MWEZI UTAKUWA UMESHAPATA MWANGA WA HIYO BIASHARA.
Research nimefanya kwa jamaa Mmoja anauza hiyo BIASHARA siyo yake lakin inafanya poa kanipa mrejesho na yeye hana hela tu ila alikuwa anatamn sana kufanya hio biashra
 
Soma hapa chini chukua linalokufaa
1.Mtumishi wa serikali/Private usiache kazi ila fanya saving ili baadaye ufungue duka, miamala ama glocery

2.Mtumishi wa serikali piga kazi miaka mitano halafu chukua mkopo usiozidi milion 15 nunua mashamba na fungua biashara ya pesa(miamala) au ingia migodini na usijenge nyumba kwanza

3.Kwa unaye pambana jiwekee mfano ni fundi weka akiba zikiwa nyingi fungua ofisi uchwara tu utanishukuru mf.ofisi ya hardware/mbao

4.Vibarua fanyeni kazi kwa malengo mjitahidi kuishinda tamaa ukifikisha 2M nitafute nikupe byke

5.Mama ntilie/ wauza chips endeleeni kupambana biashara ikichangamka jikusanyeni watu 5 mkachukue mkopo wa riba nafuu mkuze mitaji yenu kama hamna wazo nitafuteni nitawasaidia

6.Mtumishi wa serikali baada ya kujikusanyia pesa zako kwenye miradi yako jenga nyumba ya kuishi pia ya kupangisha ama fremu
7.Usisomeshe mtoto madarasa ya chini mpe sapoti akiwa juu

St.John Paul II ora pro nobis debris!!
 
Sawa japo cjakuelewa mada na ulivyovielezea
 
Back
Top Bottom