Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Mkuu, moja katika vitu tunavyokosea sana ni kupenda nusu Package halafu tukitegemea kufurahia the whole package. Mwili wa mwenza wako ni nusu package, tabia yake ni nusu nyingine. Sasa huwa aidha tunavutiwa na tabia ama Urembo. Hapo wewe ni wazi, kinachokufunga ni urembo wake. Lakini tibia yake isha kukera. Mwenza mwema anatakiwa angalau akufurahishe nusu nusu kila upande(urembo na tabia).
Umenena sawia mkuuu
 
ana umri gani mkuu?
anapenda kuwa modal au video queen anapenda sana kupiga picha!
me wa kwangu yupo kama wako tu nampenda ivoivo mwanzon nilihis kama ww lakini mwisho wa siku nilikuja kujua ukweli kwamba ni kwann yupo hivo. wapo watu wazima pia wana interest hizo za kupenda kupga pcha sana

ukiangalia hii picha unamuona pia mkuu wangu vile anavopenda kupiga picha
d253191f9a0ac29276e18dec01e72fcd.jpg

kwaiyo huyo wa kwako mchunguze sana utapata jibu me kwa kwangu amenipa passwrd za insta na facebook kwaiyo nikiamua mda wwote huwa nachungulia dm na inbox kwake kuna nini
Anapenda picha hatariiiiii yan nikiwa naye yeye ful kujiselfisha na mimi ila hapendelei hayo ya umodal sijui umiss hayupo huko khabisa na hapendi
 
Habarii wakuu
Nampenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye mwislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke alonampenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nyewele yeye anapost tu.

Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje manake hana privacy na ninwepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpka likes na comment za mitandao"
Nahisi namjua huyo mtu
 
Ndo mana anajitafutia zake mtu mwingine mwenye imani yake mtandaoni. Ukija kushtuka picha anazopost zimempa mume.shangaa tu.
Kubadili dinj unadhani kazi ndogo
Ni kwa hiari mkuu anaamua simlazimishi kuwa afate dini yangu ni yy kuamua
 
Mpenzi wangu nilimpiga marufuku akawa mwepesi na haraka sana kunielewa...

Labda ujawahi kumwambia kwann upendi na madhara yake ya kufanya hicho anachokifanya
 
Habarii wakuu
Nampenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye mwislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke alonampenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nyewele yeye anapost tu.

Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje manake hana privacy na ninwepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpka likes na comment za mitandao"
tutumie hata picha yake moja tumuone alafu tutakupa jibu
 
Kama ana umri mdogo... mvumilie.. lakin kama amekomaa.. usiharakishe kuoa.. tulia kwanza
 
Mpenzi wangu nilimpiga marufuku akawa mwepesi na haraka sana kunielewa...

Labda ujawahi kumwambia kwann upendi na madhara yake ya kufanya hicho anachokifanya
Nishamwambia mkuu
 
Habarii wakuu
Nampenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye mwislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke alonampenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nyewele yeye anapost tu.

Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje manake hana privacy na ninwepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpka likes na comment za mitandao"

Huyo ni changu tu, anajiuza kupitia mitandao...tupilia mbali asije kukufupishia maisha.
 
Back
Top Bottom