Kamaliza anatafuta kazi
Haaaaaahaaaaaaaa yaani we jamaa km mimi tu kiugomvi kdg lazma wabadili DP ss km c utoto ni nn? vijembe km wake wenza? dawa ni kuvipiga chini tu vikija pata akili too late nna uhakika utashindwa tu kuna mdau hpo kashauri "km unampenda nenda nae taratibu" ni ushauri mzuri jaribu mi nlivumilia mwisho nkashindwa!Nahisigi hilo ila inanipa taabu sana hawezi kustahimil vitu vidogo km kutopost picha ya ndan siitakuwa balaa na nikimudhi lazima aniweke DP ya ujumbe unaonihusu
Viswahili sana hv vitoto mm juzi nimekapiga chini kamoja imetokea kutoelewana mnaongea yanaisha mambo ya kuwekeana mabango profile ya nn? inankera sana hyo tabia!Halafu kingine nilichoona hapo ni kama vile huyo dada ni mswahili. Jitahidi kudate na wanawake wanaojitambua, sio hao wenye Mambo ya kiswahili.
Ana uhuru wa kupost but not to that extentSimu ni yake,bundle ni lake kwann umpangie cha kupost!??
Dah....umenikuna sana hii point nna 950 npe namba yko nkurecharge jero ka450 kaniangalizie akaunti!msi-date malimbukeni wa Smartphone na Mitandao ya kijamii



Ohoooo!!!Huyo safari yake ya kupata mwenza haijafika mwisho... Still searching.. Give her time... You shall know the truth.
Ohooo!!!mabinti wenyewe wa sasa hivi wamesha jizoelea ubuyu wa Mange unafikiri atamkubalia hilo.mtafutie simu ya tochi atumie kwa mda kama adhabu yake
Hili linanipasua kichwa acha kila nikiwaza ila mwanamke yupo tayari kubadli dini nakuolewa na mimi ila nimemwambia mm siwezi kukuoa ndo ubadili dini kama unataka tuoane badili tukiwa wapenzi hadi ndugu zako wajue umebadilika ila sio kwenye ndoa ndo ubadili
Habarii wakuu
Nampenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye mwislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke alonampenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nyewele yeye anapost tu.
Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje manake hana privacy na ninwepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpka likes na comment za mitandao"