Hapo ndo pakuwa makini sababu ninapaelewa vizuri mkuu, Mimi alinihakikishia ivo ivo lakn mwishoni ilishindikana sababu ya wazaziHili linanipasua kichwa acha kila nikiwaza ila mwanamke yupo tayari kubadli dini nakuolewa na mimi ila nimemwambia mm siwezi kukuoa ndo ubadili dini kama unataka tuoane badili tukiwa wapenzi hadi ndugu zako wajue umebadilika ila sio kwenye ndoa ndo ubadili
Ohoooh, sisi kiukwel ilishindikana sababu wazazi wake hawakuafiki kabisa. Nisikukatishe tamaa mkuu labda wakwako ana msimamo na ushawishi mkubwa, kumbuka ndoa isiyo na baraka za wazazi hata kama mnapendana hainaga amani.Ulifanyaje mkuu kanambia na baba yake ni swala tano
Hilo ni kweli ila hata watu wa karibu wote kila nayemwambia swala dini ananiambia hapanaOhoooh, sisi kiukwel ilishindikana sababu wazazi wake hawakuafiki kabisa. Nisikukatishe tamaa mkuu labda wakwako ana msimamo na ushawishi mkubwa, kumbuka ndoa isiyo na baraka za wazazi hata kama mnapendana hainaga amani.
Akili kumkichwa ndugu za kuambiwa changanya na zako, kisha Fanya maamuzi sahihi yasiyokua na majuto badae.Hilo ni kweli ila hata watu wa karibu wote kila nayemwambia swala dini ananiambia hapana
Inaboaa sanaHuyo ni limbukeni, sipendi hizo tabia.....
Mtu mwingine anapaka ma scrub usoni anapiga picha anatuma ni shida, ulimbukeni na ushamba
HahahaaHili linanipasua kichwa acha kila nikiwaza ila mwanamke yupo tayari kubadli dini nakuolewa na mimi ila nimemwambia mm siwezi kukuoa ndo ubadili dini kama unataka tuoane badili tukiwa wapenzi hadi ndugu zako wajue umebadilika ila sio kwenye ndoa ndo ubadili
Wala huja mkatisha tamaa ni kweli asilimia 95 huwa hawafiki mwisho, hiyo moja hufika wakiwa wamechoka na wame poteza sehemu kubwa ya jamii zao au heshima za jamii zaoOhoooh, sisi kiukwel ilishindikana sababu wazazi wake hawakuafiki kabisa. Nisikukatishe tamaa mkuu labda wakwako ana msimamo na ushawishi mkubwa, kumbuka ndoa isiyo na baraka za wazazi hata kama mnapendana hainaga amani.