Kuwa nae makini sana, au nenda nae taratibu inaweza kuwa piaNishamwambia mkuu
Ulimpata katika mazingira gani?Habarii wakuu
Nampenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye mwislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke alonampenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nyewele yeye anapost tu.
Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje manake hana privacy na ninwepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpka likes na comment za mitandao"
Ndio uanze kuhisi sasaKuna wakati naweza Amin hilo...ila kunashida sehem mkuu na akija kwangu simu inakaaga kwenye mkoba mara nyingi ila nisikufiche sijawah hisi nasalitiwa wa dalili hata moja sijaona
Mhhh,,we nae bado!! umri wako una miaka mingapi?Kuna wakati naweza Amin hilo...ila kunashida sehem mkuu na akija kwangu simu inakaaga kwenye mkoba mara nyingi ila nisikufiche sijawah hisi nasalitiwa wa dalili hata moja sijaona
hahaha itakuwa vitaOhooo!!!mabinti wenyewe wa sasa hivi wamesha jizoelea ubuyu wa Mange unafikiri atamkubalia hilo.
Dah....umenikuna sana hii point nna 950 npe namba yko nkurecharge jero ka450 kaniangalizie akaunti!
niunganishe bando la chuohuo ndio unaitwa UlimbukeniHivyo viashiria hana,asante princess.nitabia flani hivi inakera sanaaaa yan mtu hana privacy hata akifumua nywelee anapost
Time haisubiri. Ukijakurupuka mwenzio dini hajabadili na musilam mwenzie keshamuoa. Kila la heri.Ni kwa hiari mkuu anaamua simlazimishi kuwa afate dini yangu ni yy kuamua
you have spoken few words but very touchable, good.Huyo safari yake ya kupata mwenza haijafika mwisho... Still searching.. Give her time... You shall know the truth.