Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Ktk watu ambap sitowasahau ni JK. Aliposema chukua zakuambiwa changanya na zako. Hio Aljebra itajibu tuu.
 
Pole, bado ana mihemko ya ujana. Pengine pia kuiga na kufuata mkumbo ili nae aonekane anaenda na wakati. Ni wa kisasa hayuko nyuma na fashions. Mpe muda atajitambua na atatulia.
 
Habarii wakuu
Nampenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye mwislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke alonampenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nyewele yeye anapost tu.

Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje manake hana privacy na ninwepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpka likes na comment za mitandao"
Hebu muite aje apost hapa picha yake tumuone kwanza! Usikute ana inferiority complex
 
Kuna wakati naweza Amin hilo...ila kunashida sehem mkuu na akija kwangu simu inakaaga kwenye mkoba mara nyingi ila nisikufiche sijawah hisi nasalitiwa wa dalili hata moja sijaona

Open ur eyes and u will know the truth... Just free urself from her na utajua ukweli ila ukiwa moyo wako umejifunga kwake unajidanganya kutaka kutafuta ukweli APA zaidi utakuwa unaangalia maneno ya kukufataji kwamba uko katika penzi bora zaidi
 
Mkuu nashukuru kwa kuandika kitu...have already free myself from her ..yupo mbali na mimi now kwa sababu za kimaisha ila upepo ni ule ule
 
Laulimbukeni nisimtete ila kwa kipindi nilichodate naye hana viashiria hivyo
hana viashiria vya ulimbukeni?
ila pole sana kama umependa.
hio tabia hata mdogo wangu anayo ananichefua....
ila naamini utoto+limbukeni wakikua wataacha
sema tatizo ndugu wataka kuoa
 
anatumia jina gani huko insta nika Like nakumwongezea Ma followers
 
hana viashiria vya ulimbukeni?
ila pole sana kama umependa.
hio tabia hata mdogo wangu anayo ananichefua....
ila naamini utoto+limbukeni wakikua wataacha
sema tatizo ndugu wataka kuoa
Hivyo viashiria hana,asante princess.nitabia flani hivi inakera sanaaaa yan mtu hana privacy hata akifumua nywelee anapost
 
Back
Top Bottom