Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Me nadhani una panic bure
Labda hana kazi/ hajaajiriwa ndio maana social media inam keep buzy

Kingine ni hobby ya mtu, hauwezi change ila unaweza punguza

Nilipokuwa sina kazi nilikuwa kama GF wako nilipopata kazi mbona moto ulipungua kwanza saa ngap nashika simu na kazi za watu anafanya nani?!

Wife materialistic haipimwi na kupost picha on social media, mtafutie kazi au biashara atapunguza ila kuacha ni ngumu maana ni hobby yake

Ni hayo tu mkuu
 
Umeongea point mkuu sanaaaaaa na nikweli
 
Habarii wakuu
Nina mpenzi wangu nampenda sana tuna miaka miwili kwenye uhusiano yeye muislamu na mimi mkristo ananipenda sana hilo sina mashaka nalo

Ila shida yake anapenda sanaa kupost picha instagram hata ambazo kwangu naona hazina tija au kupost kwa mwanamke aliye na mpenzi na anatarajia kuwa mke wa mtu nishamuonya sanaa yaani hata akifumua nywele yeye anapost tu.

Naombeni msaada wa mawazo nifanyaje maana hana privacy na ni wepesi kuomba msamaha ila lazima apost picha zake kama sio fb ni instagramu mpka nawazaga hizi " umependeza mpnz wangu huwa hazitoshi mpaka likes na comment za mitandao"
Achana nae, tafuta mkristo mwenzako uoe!!
 
Kuna wakati naweza Amin hilo...ila kunashida sehem mkuu na akija kwangu simu inakaaga kwenye mkoba mara nyingi ila nisikufiche sijawah hisi nasalitiwa wa dalili hata moja sijaona
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bado anatafuta mwenzio wa kukusaidia, siku jaribu kumuomba simu yake, akikubali kukupa basi endelea nae maana atakuwa anajifurahisha tu kupost picha zake, akikataa basi jiongeze tuu
 
Simu haninyimiii ananipagaa
 
Nahisigi hilo ila inanipa taabu sana hawezi kustahimil vitu vidogo km kutopost picha ya ndan siitakuwa balaa na nikimudhi lazima aniweke DP ya ujumbe unaonihusu
Duh pole ana umri gani? Anakupiga kijembe hata wewe_?
 
New sms on dp again[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama anapenda sana kuonekana si atengeneze ile mibango mikubwa kama ya matangazo barabarani...

Ila kwa kifupi ni kuwa mtu yoyote awe mwaume au mwanamke anayependa kuweka iwe picha au maneno ya kila afanyalo mtandaoni ana matatizo ya akili...hii ni kwa mujibu wa matokeo ya tafiti za kisaikolojia.
 
Njia gani inafaa kumsaidia mkuu
 
Njia gani inafaa kumsaidia mkuu
Endelea kumpa ushauri nasaha tu wenye vielelezo vya madhara ya matumizi yaliyokithiri ya mitandao hiyo uliyoitaja...

Mathalani kuna makampuni/mashirika kabla hayajatoa ajira kwa mtu huwa yanachunguza mienendo ya mtu aombaye kazi katika mitandao...

Sasa kama mtu mwenyewe ni dizaini ya huyo binti, si ajabu akajikuta anakosa kazi kila leo hata kama anakidhi vigezo
 
Back
Top Bottom