Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

Acha ujinga Biblia inasema " Usifungiwe NIRA na asiye Amini" BT kama unania nyingine kazi Ni kwako
 
Yan mwanamke anataka kukumiliki hata posa ujapeleka badooo
 
I have been there ... huyu msichana bado hajakua kiakili .. bado ana akili changa
 
kuwa makini atakuja akupige picha na wewe ukiwa mtupu halaf akupost maan anakaugonjwa kakupost picha yaan kanaitwa POST DISEASE
 
Back
Top Bottom