Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
tafuta mwingine bn au uje kwangu
Atiii nije kwako?
Nahisi italuwa unastree za kazi za Leo ungesoma kwanza mwanzo ungejua nini kinaendelea na mpaka sasa pumzika mkuu na uckumwema
Hujanijibu swali, huyo frateri hujawa kumwona akihudu hapo kanisani mpaka alipo kwambia mwenyewe?
kwani nani kabisha?...Je we unafkir hao wanaofanya huo upuuz hawaijui hiyo verse!?...
Akifany hivyo ni tabia yake na ujinga wake na wala sio kitabu kimeruusu..na watachomwa moto cku za mwisho...
Ivi hujui waarabu nd wanaongoza kwa.kulawiti wake zao!? na Nchi inayoongza kwa sex slave ni saudi arabia tena kweny root ya uislam!..
je tuseme waislam woote does the same!?...
vitu kma ivi inatakiwa kujiongeza sana sio kuandika uonekane unahoja kumbe haujafikir vizur
Me chawah ila yeye amesema ananionaga kama unaelewa vzuri kumbuka misa IPO ya mida tofaut labda yeye anaibgiaga ile ya SAA 12 asubuh that's y cjawah onana naye
kama una amini Mungu na unamwogopa basi utaacha... uswide dalali wa shetani
Hutafika mbali mwisho was siku ataitikia mwito wake na kukuacha solemba unapwelepweta
Anataman nimzalie mtoto mmoja na maisha yakiwa mazur tuzae wa pili basi na nilimuulizaga swala LA ndoa akasema tusubiti baadae hapo ni kabla ya kusema kuwa yeye ni frater ila kwakweli anajali sana zaidi ya sana
sasa umekuja kuomba msaada gani....?Mmnh asanteh mkuu huyu ananitosha
kama unampenda kweli mshaur aachane na upadri hamna haja na kuishi maisha ya kinafiki kujifanya kondoo kumbe mbwa mwitu mwishowe aje achomwe moto bure kama mnapenda kweli mnaweza ishi maisha mazuri na ya kawaida hata kama mna kipato kidogo
we unahisi kati ya hawa wawili ni nani hamwamini wala kumwogopa mungu? Na kati yao ni nani alimtongoza mwingine? Na nani ni wakala mkuu wa shetani maana hao wote ni wakala maana wanafanya uzinzi ila mkuu unahisi ni yup? Na assume huyu dada ana ujauzito wake wa mwezi 1 nani alaumiwe?
Kama anakupenda, basi achague moja, wewe au kanisaAnataman nimzalie mtoto mmoja na maisha yakiwa mazur tuzae wa pili basi na nilimuulizaga swala LA ndoa akasema tusubiti baadae hapo ni kabla ya kusema kuwa yeye ni frater ila kwakweli anajali sana zaidi ya sana
basi kama unampenda sana kaombe ushauri kwa paroko au na we ukajitose usister mkutane mbele kwa mbele ukosasa umekuja kuomba msaada gani....?