Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

hivi huo unafiki utawapeleka wapi hawa watu? kama anataka mtoto kwann anataka kuwa padri?? since bado hajawa padri, aache kuendelea na masomo na atoke huko seminari, awe tu raia wa kawaida muoane, mpate baraka za Mungu, mzae, watoto wapate malezi ya wazazi wote na amani tele! kuhusu kumtumikia Mungu..anaweza kumtumikia bado..anaweza kuwa katekista, muimba kwaya, kiongozi wa jumuiya na mengineyo mnajua wenyewe wakatoliki. Kuliko kutenda dhambi ya uasherati for the rest of his life. Mshauri hivyo.

-Na kuh wewe, umeridhika kuwa kimada wa mtu 4 the rest of ur life? yaan muasherati for life? khe! Haya, akishakuwa padri..Mungu atamtumije mtu ambaye anaishi maisha ya uasherati? maana kuna tofauti kati ya kutenda dhambi, na kuishi maisha ya dhambi! Kutenda dhambi, ni ile mtu anakosea then anatubu na kuacha. Bt kuishi maisha ya dhambi ni ile dhambi flani mf uasherati..unaifanya sehemu ya maisha yako! Mungu atakutumiaje hapo kuwapa soltn waamini?? MUOGOPENI MUNGU!

Usemayo ni kweli hata mm nimeyaona tayar na huyu anataman apate mtoto siku moja ila sasa ngoja niongee tu na shangaz kwanza
 
kuongea na mleta mada tu si vizur sana ila mleta mada anaweza kuwa chanzo cha mabadiliko chanya kwa frate kulingana na ushauri wako pili koment yako ilikuwa na lawama za moja kwa moja kwa huyu dada tatu sio lazima waachane anaweza mshauri akaachana na upadri maana ni dhahiri influence zilizomfanya kutaka kuwa padri hazina mashiko kamili kama ilivyokuwa mwanzo hivyo ni bora aachane na maisha ya kinafik ya kujifanya kondoo kumbe mbwa mwitu mwisho sio kila kitu unachosoma unajifunza sometime you unlearn what you learn before

acha kukurupuka wewe

NImempa advice ambayo iko open, however, if she is a believer, she knows why we dont mess up with God

USIMDHIHAKI Mungu

hayo mengine... tell me something i dont know... its either husomi ninachoandika, or hujui unachosoma

Hakuna chanzo cha mabadiliko kwenye princples or rather basics za life, this is not politics, for thousands of years hayo anayofanya huyo dada na frateli yamekua yakitokea, yapo kwenye maandiko, its just for dada kugundua kwamba anakua dalali wa shetani tena kwenye dhihaka dhidi ya Muumba

I hate to say this but it is definitely you came to the thread with two things: the first one being preconceived ideas and the second as a defensive person, which leaves a lot to be desired... Just asses yourself

Alamsik
 
Sa tatizo liko wapi endelea kumpa kidudu ukimzalia mfichie siri siku izi kila kitu ni two way traffic
 
acha kukurupuka wewe

NImempa advice ambayo iko open, however, if she is a believer, she knows why we dont mess up with God

USIMDHIHAKI Mungu

hayo mengine... tell me something i dont know... its either husomi ninachoandika, or hujui unachosoma

Hakuna chanzo cha mabadiliko kwenye princples or rather basics za life, this is not politics, for thousands of years hayo anayofanya huyo dada na frateli yamekua yakitokea, yapo kwenye maandiko, its just for dada kugundua kwamba anakua dalali wa shetani tena kwenye dhihaka dhidi ya Muumba

I hate to say this but it is definitely you came to the thread with two things: the first one being preconceived ideas and the second as a defensive person, which leaves a lot to be desired... Just asses yourself

Alamsik

kuna popote ktk koment yangu nilipomdhihaki Mungu?, pia sio lazima kila unachoambiwa kiwe kipya na sio kila unachokijua unakijua kwa usahih wake kamili so sometime unasahihishwa then every change has its internal or external forces na huyu dada anaweza kuwa reason for +change kwa frate hivyo hivyo wewe kwa huyu dada. Wote ni madalali wa shetani hasa hasa frate maana yeye anawapoteza kondoo wa kristo badala ya kuwaongoza ktk njia ya uzima na kwel na ingepaswa afungwe jiwe shingon na kutupwa ktk kilindi cha bahar.
Simtetei mtu yoyote kat ya hawa ila na wish wote wabadilike kama ilivyo wewe japo umebase kwa huyu dada hivyo mimi na wewe hatuna haja ya kubishana na kupoteza muda na ningekutana nao wote wawili ningewashaur waoane na frate aache upadr maana kashaonja utamu wa asali asije pata kesi nzito baadae. Ingekuwa vyema mtu kama dokta slaa asingesomea upadri kabisa kuliko alivyofanya maana sasa angekuwa na wajukuu na sio watoto wadogo. Have a good night
 
ok, hakuna haja ya kubishana... endelea na mawazo yako
 
hivi huo unafiki utawapeleka wapi hawa watu? kama anataka mtoto kwann anataka kuwa padri?? since bado hajawa padri, aache kuendelea na masomo na atoke huko seminari, awe tu raia wa kawaida muoane, mpate baraka za Mungu, mzae, watoto wapate malezi ya wazazi wote na amani tele! kuhusu kumtumikia Mungu..anaweza kumtumikia bado..anaweza kuwa katekista, muimba kwaya, kiongozi wa jumuiya na mengineyo mnajua wenyewe wakatoliki. Kuliko kutenda dhambi ya uasherati for the rest of his life. Mshauri hivyo.

-Na kuh wewe, umeridhika kuwa kimada wa mtu 4 the rest of ur life? yaan muasherati for life? khe! Haya, akishakuwa padri..Mungu atamtumije mtu ambaye anaishi maisha ya uasherati? maana kuna tofauti kati ya kutenda dhambi, na kuishi maisha ya dhambi! Kutenda dhambi, ni ile mtu anakosea then anatubu na kuacha. Bt kuishi maisha ya dhambi ni ile dhambi flani mf uasherati..unaifanya sehemu ya maisha yako! Mungu atakutumiaje hapo kuwapa soltn waamini?? MUOGOPENI MUNGU!

mkuu nakubaliana nawe kwa asilimia zote hakuna haja ya kuishi kinafiki. Aache upadr mbona bado mapema hajawa hata shemasi hapo ana form six yake na anaweza apply chuo na baadae wakaish maisha mazur ya kiroho na ktk ndoa. Shetan ana mbinu sana kwan hapo anachofanya ni kumjenga frate kuwa mwanachama wake wa kudumu hata kama akiachana na huyu dada ni vigumu kuacha kurudia kutongoza tena na kuendelea na uzinzi huku akijifanya kondoo kumbe mbwa mwitu
 
sure!!
 
Mjin hapa, muulize anampango upi kat ya UTAWA na wewe? Pil mchunguze zaid ad kwao pengne ni lalahoi hana mbele wala nyuma anasingzia huko il umpokee mzigo wa njaa alionao nakujfanya anacngizia utawa.
 
Nikethibitisha kuwa kweli no fratel lakn pamoja na kuongea nae bado hatak
 
mmmnh tayar cku nyingi sana

aisee umemtendea haki,au mmetendeana haki kama mlishapeana sakramenti uamuzi wa kuacha kuendelea moyo wako ndio unakuongoza hata kama tukikushauri uache wakati moyo umedondokea itakuwa kazi bure!!!.
 
Mmmnh yan kwel unayosema mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom