Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

C.Thady

1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Last edited by a moderator:
Hapana tatizo alinipenda
mwenyewe nikamuuliza ulinionea wapi akasema alinionaga kanisani kila
siku ya jumamosi na jumapili akavutiwa namimi nikamuuliza anafanya kazi
wapi akasema mkoa flan (cwez usema)

wenzio wanafanya siri mpaka wanazaa tho huruhusiwi kutaja baba mtoto. in short akiwa ni padre anakuhudumia kiukweli tho usiri unahitajika
na nivizuri muwe mbali kidogo kuzuia umbea je dini inaruhusu?
 
Hadi sasa naona wale mnaoshindanisha Mapadri na Masheikh katika ulawiti mshapata mlawiti bora zaidi. How absurd!

1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Wote si Waislamu si Wakristo. Swali langu linabaki mshapata mshindi wa hayo madhambi?
 
Duuh nimeshaelewa

inabidi uwe msiri na uwe mbali kidogo kuzuia umbea. je yeye anasemaje kuhusu future?

je wazazi wako watalichukuliaje kumbuka ni siri?

vipi mashoga zako uko tiyar kuwa mbali nao? maana ndo wataanza kukutangaza!

vipi ni ukweli kuwa din hairuhusu je wew una amani kuwa nae? je kuwa nae kama nan?
 
inabidi uwe msiri na uwe mbali kidogo kuzuia umbea. je yeye anasemaje kuhusu future?

Anataman nimzalie mtoto mmoja na maisha yakiwa mazur tuzae wa pili basi na nilimuulizaga swala LA ndoa akasema tusubiti baadae hapo ni kabla ya kusema kuwa yeye ni frater ila kwakweli anajali sana zaidi ya sana
 
Anataman
nimzalie mtoto
mmoja na maisha yakiwa mazur tuzae wa pili basi na nilimuulizaga swala
LA ndoa akasema tusubiti baadae hapo ni kabla ya kusema kuwa yeye ni
frater ila kwakweli anajali sana zaidi ya sana

uko tiyari kuishi maisha ya kujificha?

nina shoga yangu yuko moro ana padre ila tatizo ni kuoana
na shoga anataka ndoa ,padre anataka mtoto so ni sheeeda. na padre ana
wivu mbaya.

wewe roho yako inasemaje?

mm nilikuwa nimemaliza f6 i waz very young nilitokewaga na padre ila
nilikataa coz nilikuwa mdogo na yeye alikuwa mkubwa afu kwao wote
wanaume wanne walikuwa mapadre nikawaza itakuwajewenzie wakijua?

kwakuwa nilikuwa bado mambo ya lov nilimkataa may be kama ingekua sasa ivi ningekubali so ni wewe tu.
 
uko tiyari kuishi maisha ya kujificha?

nina shoga yangu yuko moro ana padre ila tatizo ni kuoana
na shoga anataka ndoa ,padre anataka mtoto so ni sheeeda. na padre ana wivu mbaya

Hilo sio tatizo watu mbona wapo wanaotaja baba wa uongo ili kuficha tu aibu zao hilo sio tatizo mkuu mashoga zangu wengi kila mtu na mambo yaje u busy mwingi
 
Hilo sio tatizo watu mbona
wapo wanaotaja baba wa uongo ili kuficha tu aibu zao hilo sio tatizo
mkuu mashoga zangu wengi kila mtu na mambo yaje u busy mwingi

mama yako anasemaje? je huyo padre alisha apishwa as padre? je ana uwezo wa kukujengea?
 
Naam, mshindi ni Father Kit Cunningham wa Soni, kaharibu watoto wa shule nzima, dogo hilo? Au hujaisoma ile link?

Kama kafanya kwa scale kubwa kiasi hicho ni haki kabisa kumpa huo ushindi. Mimi naona tukiacha upande wa idadi, ni common problem kwa watu wa dini zote.Na jinsi mnavyo washindanisha ni kama mnawachochea waongeze ufanisi. Mnasahau kulikemea regardless limefanywa na nani, na mnapoteza compassionate kwa wahanga na mnafuta unafuu katika kutetea dini zenu kwa kuwashindanisha walawiti, which is a shame
 
mama yako anasemaje? je huyo padre alisha apishwa as padre? je ana uwezo wa kukujengea?

Hajaapishwa bado huyu ni frater ila nawez kujitegemea mwenyewe lakn bado miaka michache aawe padri rasmi
 
uko tiyari kuishi maisha ya kujificha?

nina shoga yangu yuko moro ana padre ila tatizo ni kuoana
na shoga anataka ndoa ,padre anataka mtoto so ni sheeeda. na padre ana
wivu mbaya.

wewe roho yako inasemaje?

mm nilikuwa nimemaliza f6 i waz very young nilitokewaga na padre ila
nilikataa coz nilikuwa mdogo na yeye alikuwa mkubwa afu kwao wote
wanaume wanne walikuwa mapadre nikawaza itakuwajewenzie wakijua?

kwakuwa nilikuwa bado mambo ya lov nilimkataa may be kama ingekua sasa ivi ningekubali so ni wewe tu.

Yaani wewe unamshauri mwenzio abebe laana?
 
Miezi kumi hujui mwenzio anapoishi?!!! Siku zote hizo hujawahi kumwona akihudumu hapo kanisani?!
Nina wasiwasi na wewe kama bado unajielewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom