Habari zenu wanajamvi,
Pole na uchovu wa leo nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenzi yote.
Tatizo lilianza pale nilipomuuliza yeye nikisema nikamsalimie kwake anakataa Mmh yani ajabu zaidi siku ya leo ameniweka wazi kuwa yeye ni Frateri.
Anasomea Upadri na anaishi Seminary anaposoma. Kweli nampenda sana kumuacha sio kirahisi na yeye hataki mwingine.
Nifanyeje jamani? Ushauri tafadhali
Sasa kama mnapendana kwanini msimalize kwa kufanya harusi/ndoa?Habari zenu wanajamvi,
Pole na uchovu wa leo nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenzi yote.
Tatizo lilianza pale nilipomuuliza yeye nikisema nikamsalimie kwake anakataa Mmh yani ajabu zaidi siku ya leo ameniweka wazi kuwa yeye ni Frateri.
Anasomea Upadri na anaishi Seminary anaposoma. Kweli nampenda sana kumuacha sio kirahisi na yeye hataki mwingine.
Nifanyeje jamani? Ushauri tafadhali
Mwanangu usiogope hata kidogo. Hakikisha akija tu mkalishe, mwambie huwa hawaruhusiwi kuoa, sasa tangu siku 30 zilizopita umejihisi una uja uzito wake, sasa unaomba ushauri wake, ufanye nini na weye hutaki kuua hicho kiumbe?? Akiwa ni kweli anakuthamini atakupa njia nzuri eg kukilinda na kukitunza kiumbe. Huyo, endelea tu naye ila ujue kuwa sometiyme to kam utajikuta single mother/parent.
Ukikaa naye vizuri, utapata bonge la hausi na mkoko mzuri na vidoido utakavyo viomba eg nguo za mtoto mtarajiwa. Baadaye waweza amua kumzalia.
Hao watu nakwambia wana njia nyingi tu za kukutunza ila uwe mwaminifu tu kwake. Nazungumzia haya nikiwa nawajua wanawake wengi tu waliofaidi kutoka kwa watu hao.
Ngoja nikusaidie ni kkktMmmnh mkuu k...t! Ndio nini samahn naomba umaliziea hapo
Habari zenu wanajamvi,
Pole na uchovu wa leo nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenzi yote.
Tatizo lilianza pale nilipomuuliza yeye nikisema nikamsalimie kwake anakataa Mmh yani ajabu zaidi siku ya leo ameniweka wazi kuwa yeye ni Frateri.
Anasomea Upadri na anaishi Seminary anaposoma. Kweli nampenda sana kumuacha sio kirahisi na yeye hataki mwingine.
Nifanyeje jamani? Ushauri tafadhali
kwa ushauri huu unamwakikishia huyu dada aendelee kuwa mtenda dhambi ya uzinzi milele.Naomba umkumbushe kuwa Mungu anakuja,hivyo kwa style hiyo tayari anaioma nafasi yake ktk ufalme wa mbinguni.
ushauri wangu kwa mdada ni kuachana na huyo bwn aanzishe maisha mapya yatakayomtia amani na furaha ya milele
Hapo pagumu aisee.ni kuchagua kuwa padre(na hivyo kuachan na wewe) au kuendelea na wewe na kuuacha upadre.ni option mbili tu mkuu.