Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

Msaada: Amenishtua sana japo nampenda

Hajaapishwa bado huyu ni frater ila nawez kujitegemea mwenyewe lakn bado miaka michache aawe padri rasmi

shoga we angalia fyucha
kama atakutoa kimaisha we endelea naye ivo ivo kwa kujificha
kwani nini bana watu tunaangalia fyucha baasi
utangangania ndoa ndoa utaishia kupata mwanaume hewa asojali
utajuta utamkumbuka padri hutamuona tena!!!
 
Habari zenu wana jamvi.. Pole na uchovu wa Leo... Nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenz yote ....tatizo lilianza pale nilipomuuliza y nikisema nikamsalimie kwake anakataa.. Mmnh yani ajabu zaidi siku ya Leo ameniweka wazi kuwa yeye ni Frateri(Anasomea Upadri) na anaishi seminary anaposoma. Kweli nampenda sana kumuacha sio kirahisi na yeye hataki mwingine.. Nifanyeje jamani???

kama una amini Mungu na unamwogopa basi utaacha... uswide dalali wa shetani

Hutafika mbali mwisho was siku ataitikia mwito wake na kukuacha solemba unapwelepweta
 
Miezi kumi hujui mwenzio anapoishi?!!! Siku zote hizo hujawahi kumwona akihudumu hapo kanisani?!
Nina wasiwasi na wewe kama bado unajielewa

Nahisi italuwa unastree za kazi za Leo ungesoma kwanza mwanzo ungejua nini kinaendelea na mpaka sasa pumzika mkuu na uckumwema
 
Eeeh kaz ipo dunian.. Ila haina shda, maana cku hz na wenyew huzaa watto na wana wake zao kabsa. Hivyo usiogope, endelea nae tu, hasa ukiangalia km ulivyosema unampenda sn
 
Kama kafanya kwa scale kubwa kiasi hicho ni haki kabisa kumpa huo ushindi. Mimi naona tukiacha upande wa idadi, ni common problem kwa watu wa dini zote.Na jinsi mnavyo washindanisha ni kama mnawachochea waongeze ufanisi. Mnasahau kulikemea regardless limefanywa na nani, na mnapoteza compassionate kwa wahanga na mnafuta unafuu katika kutetea dini zenu kwa kuwashindanisha walawiti, which is a shame

Sijui wengine siwezi kuwasemea, kwa upande wangu nakemea kila muovu.

Lakini ukweli ubaki kuwa ukweli. Leo makanisa yanaruhusu ushoga, mpaka wanadiriki kusema ushoga ni kazi ya wachungaji, hujaliona hilo? Kuna scandal za ushoga mpaka kwa maaskofu wakubwa wa Vatican, Jee, nayo huyajuwi?

Huyo father Kit Cunningham ungemsoma, nimekuwekea link, badala ya kusema tu "kama kafanya kwa scale kubwa kiasi hicho", hiyo "kama" yako inaonesha bado hutaki kuamini! Huo ndiyo ukweli, ukiuamini usiuamini na ushahidi uko wazi kabisa. Fata link, nimekuwekea tena chini hapo. Ni hatari kubwa sana.

Soma kipande kidogo hiki, vijana 22 walioweza kujitokeza walifunguwa kesi ya madai. Hakuna aliye i ripoti hapa kwetu. Why?

A correspondence developed. I am not going to name the other party because he made clear he didn't want that. He is not part of the group of 22 ex-pupils of Soni pursuing a legal case for compensation against the Rosminians. But he was abused there, as was his brother, or so he believes. The two have never discussed it.

Chanzo: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Guardian

Fikiri ni vijana wangapi wa Kitanzania walioharibiwa na huyo mchungaji kwa kulawitiana nao kwa miaka aliyokuwepo hapo Soni? Inatisha.
 
Lazima aweke "kama" maana hata hapa kwetu ilishajitokeza kesi kama hy tena inahusu familia nzima wanawalawiti watoto wa shule na watu wengine tukaamini kua ni kweli na wengine wakawa wanawatetea si kweli lakini baadae wakaachiwa mmoja baada mwingine amebaki mmoja tuu sasa hv lupango.
 
Habari zenu wana jamvi.. Pole na uchovu wa Leo... Nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenz yote ....tatizo lilianza pale nilipomuuliza y nikisema nikamsalimie kwake anakataa.. Mmnh yani ajabu zaidi siku ya Leo ameniweka wazi kuwa yeye ni Frateri(Anasomea Upadri) na anaishi seminary anaposoma. Kweli nampenda sana kumuacha sio kirahisi na yeye hataki mwingine.. Nifanyeje jamani???

kimbia ww acha kuzubaa....au na ww unataka kuwa ccta...tafuta mwanaume wa uhakika kwanz huoni ni makosa ayo asa ww mwendekeze uone mwisho itakuwaj
 
shoga we angalia fyucha
kama atakutoa kimaisha we endelea naye ivo ivo kwa kujificha
kwani nini bana watu tunaangalia fyucha baasi
utangangania ndoa ndoa utaishia kupata mwanaume hewa asojali
utajuta utamkumbuka padri hutamuona tena!!!

wanawake ktk ubora waooo
 
Mwaminin bwana Yesu awape uzima. Kisha mtapata furaha nafsini mwenu na milango itafunguka
 
"Ondoa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo utaona kibanzi kilicho ndani ya jicho la mwenzako"
Ni spesheli kwa watu wote wanaopenda kuongelea mambo ya udini udini, watu ambao wanaona dini zao ni safi na bora kupita za wengine.
 
na kibuti cha namna hii hakiumizi sana kwani anakumegea kidogo kidogo
kesho ataambiwa nimeamishwa nipo kigangwe cha matombo
game is over

sii kigangwe ni kigango na wewe dada yangu wa kimasai..
 
Lazima aweke "kama" maana hata hapa kwetu ilishajitokeza kesi kama hy tena inahusu familia nzima wanawalawiti watoto wa shule na watu wengine tukaamini kua ni kweli na wengine wakawa wanawatetea si kweli lakini baadae wakaachiwa mmoja baada mwingine amebaki mmoja tuu sasa hv lupango.

Kasome link, mwenyewe amekiri. Sasa sijui unataka kusema nini? kuupinga huu uozo? wewe unajuwa zaidi ya aliyekiri kufanya hayo makosa?

Tafuta na hii documentary ya BBC: Abused: Breaking the Silence ujionee mambo, hakuna aliyeipinga hadi hii leo.

Kinachonishangaza Soni ni Tanzania lakini hakuna aliyethubutu kuuongelea huu uozo wa kanisani mpaka wenzetu wameutengenezea dokyumentari sisi bado tunasea "kama". Hakuna cha "kama" hapo.

Hayo mengine yako wewe. Hapa nnamuongelea Father Kit Cunningham na ushahidi nimeweka.
 
C.Thady

1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

kwani nani kabisha?...Je we unafkir hao wanaofanya huo upuuz hawaijui hiyo verse!?...
Akifany hivyo ni tabia yake na ujinga wake na wala sio kitabu kimeruusu..na watachomwa moto cku za mwisho...
Ivi hujui waarabu nd wanaongoza kwa.kulawiti wake zao!? na Nchi inayoongza kwa sex slave ni saudi arabia tena kweny root ya uislam!..
je tuseme waislam woote does the same!?...
vitu kma ivi inatakiwa kujiongeza sana sio kuandika uonekane unahoja kumbe haujafikir vizur
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom