kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
Sahihisho, kanzu na burqah ni sehemu pia ya tamaduni za Waswahili, nadhani FaizaFoxy nae yumo katika kundi la hao Waswahili.
Uislaam hapa umehusu nini?
Kama hauna cha kuandika ungeficha upumbavu wako.
Kaniboa mpaka nimezima Tv,anaulizwa swali anaongea mengine hana hata mpangilio wa kujibu ni kujisifu na kuongea pumba.
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.
Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".
Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
Wote tunakufahamu kwa WIVU na ona sasa umeshaanza hadi kwa Waislaam wenzio.
Hapa hakuna Upumbavu wala kuuficha wake, hapa mtu lazima apashwe ukweli wake, acha wivu kwa Muislaam mwenzio.
CCM ina wanachama wa kila aina, hapa haiongelewi CCM, hili si jukwaa la siasa, mbona u punguani kiasi hiki?
Labda unifundishe maana nimeeleza vielelezo viwili tu vya utamaduni ambao ni Lugha na mavazi wewe waweza kuongezea vingine au ukavikataa nilivyoeleza na kufundisha vya kwako kwa faida ya wengi kusema tru kwamba ninaelewa utamaduni na sifa zake it is 2 generalunaelewa maana ya utamaduni? una elewa na sifa za utamaduni?
Hapo unaendelea kuuonesha upumbavu na upunguani wako.
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
CCM ina wanachama wa kila aina, hapa haiongelewi CCM, hili si jukwaa la siasa, mbona u punguani kiasi hiki?
Hapo unaendelea kuuonesha upumbavu na upunguani wako.
kwani ukika kimya au kukiri kwamba umejikwaa kumsema mwa CCM mwenzio/gamba lenzako vibaya kwa bahati mbaya utabadilika jinsia.??
ebwanaeeeee sikuwahi kuipata hii, kumbe alikana kua sio mmatumbi mwenzetu..Huyu si ndo alitusaliti watanzania uko marekani na kujiita mkenya...hana tofauti na viongozi wetu wote ni wachumia tumbo tu..
Matusi ni dalili za mtu kushindwa. Haya anza na kuipiga mashine yako kwa hasira kila ukiona SIKONGE.
Mbona leo umekuwa Mkali hivyo, kuna nini? Anyway, wengine mnabadilika kutokana na Mwezi ulipo.
Ila bado naamini humpendi Mpoto kwa Sababu unamuonea wivu Muislaam mwenzio. Yeye anajulikana na hadi kwenye TV na nje ya Tanzania anakaribishwa, wewe usiye na Upumbavu, Pumba au Upunguani umeshafanya nini?
Acha lugha za ovyo, wengine tunashinda nazo hapa kwenye kumwaga Zege. Kama ni Mali, fanya Export ya MATUSI.
kwani ukika kimya au kukiri kwamba umejikwaa kumsema mwa CCM mwenzio/gamba lenzako vibaya kwa bahati mbaya utabadilika jinsia.??