Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,443
- 46,198
Duh......Wchawi ndio wapo hivyo......Kaua Mke wake huyu....ili apate uteuzi
Duh......Wchawi ndio wapo hivyo......Kaua Mke wake huyu....ili apate uteuzi
AiseeMshamba tu huyu asiwaumize kichwa, Afe na yeye.
Hunishindi mimi mkuu.Huyu toka awe chawa nimemdharau sana!
zwazwa sana wwMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Hana akiliMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Kwani wanamtukana kwa sababu hahawasemea matatizo yao?Watu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.
Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.
Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
Na ujanja wote hujaelewa nn kimetokea codes huzijuwi while una fanya kaz na sutiiii pambana ila ask KomMsanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
Marehemu hata akitukanwa hasikii!Hata voucher hataki,hata Njaa hasikii,Pole yake m mpito!Kwa comments nilizoziona juu juu sidhani kama wamemtukana marehemu.
Hapa anapiga siasa
Naam mkuu, leo kwenye dira 2050 mpoto angetawala sanaMarehemu hata akitukanwa hasikii!Hata voucher hataki,hata Njaa hasikii,Pole yake m mpito!
Akisifia wewe kosoa,punguzeni ushamba kwenye maisha na maamuzi ya watu kwasababu kila mtu ana mtazamo wake.Anasifia tu saivi hata amekuwa km amehasiwa nguvu zitatoka wapi juu ya bahasha anazopokea? Akili itatoka wapi ya kuyaona madhaifu?