Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

Sipati picha siku akiondoka yeye, sijui kawakosea nini Watanzania maana huko nyuma alijengea heshima kubwa sana mbele ya jamii
Sio watanzania sema wafuasi wa chadema,maana wao ndio wenye akili mgando zakutaka mawazo na wanachokitaka wao kifuatwe na watu wote.Wanajiona wako sawa wakati wote na hawaamini katika mawazo tofauti kitu ambacho hakipo na hakitakuwepo duniani.
 
Back
Top Bottom