Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

Chadomo ni watu wa chuki, roho mbaya. Ni madikteta hatari sana.
ccm-zanzibar.jpg
downloadfile.png
20250704_163611.jpg
Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg

Umeyaona hayo ya ccm.
 
Acha upumbavu wa kupotosha kile kinaendelea, mkeo hajaguswa kuhusu sisiem, its you na utahira na njaa zako kufumba macho na kusifia non sense kitu ambacho watz wengi wanakikataa
Rubbish, watz wengi ndio wewe na hao wapumbavu wenzio? Nyie mmeshindwa kufanya siasa mnadandia mpk kwenye misiba? Aibu! Msimamo na mtazamo wa Mpoto huwezi kuulazamisha kuwa km wa kwako. Msilazimishe kupata wafuasi, msiba utapita na maisha yataendelea ila watanzania wamejua kuna wanaharamu km wewe
 
Kifo ni kifo tu apumzike kwa amani mzee kibao.
 
Kausha na wewe ukiona mwananchi yoyote kafiwa na Mama,mke, Baba, Mume mpe hongera kwa kumpoteza mpendwa wake, tena mwambie tulitamani afe mapema kachelewa sana, hivyo ndo namna ya kudeal na binadam.
 
Rubbish, watz wengi ndio wewe na hao wapumbavu wenzio? Nyie mmeshindwa kufanya siasa mnadandia mpk kwenye misiba? Aibu! Msimamo na mtazamo wa Mpoto huwezi kuulazamisha kuwa km wa kwako. Msilazimishe kupata wafuasi, msiba utapita na maisha yataendelea ila watanzania wamejua kuna wanaharamu km wewe
Wewe ndio rubbish na haram pamoja na aliekuzaa na aliyempa mimba akazaa rubbish, kwa akili zako unaona watz wanaweza kuelewa kinachoendelea? Taratibu umbwa zote na utawala wao dhalimu wataelewa tu. Watu hawana shida na msiba wa mpoto na sidhani kama kuna aliefurahia msiba wa mke wa mpoto au akili huna unatumia mduku kufikiria
 
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake

hili jamaa ni lijinga ndio maana halivai viatu na linasuka nywele kama demu. kwanza mimi nilikuwa naamini halina hat amke. mbona anaonekana halina uchungu kabisa, upo msibani kwa wife kweli ndio uwe mkavu unaongea na vyombo vya habari? linapenda kiki hadi kwenye msiba wa mke wake. foolish.
 
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake

Acha j
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake

Mrisho Mpoto Acha Kutafuta Like Au kutaka kuTrend Mitandaoni Kutafuta Huruma ya Watanzania -Coment nyingi Watu wanakushambulia Wewe Sio Mkeo, Mwache Kumsingizia Marehemu Bule- Watanzania wanakushambulia Wewe kukwambia Acha Uchawa Kwa Umri Wako na Uvae Kandambili au Viatu,
 
Watu wajinga ndio wanaofanya huo ujinga, binafsi sijawahi kukaa nikamtegemea msanii kwenye mabadiliko.

Yani watanzania M60+ tuwategemee wasanii ambao hawafiki hata 100k eti watusemee changamoto zetu au watuunge mkono, kwangu huu ni ujinga kwasababu kwa wingi huo tunayonguvu kuliko hao wasanii.

Kwasasa sanaa ni biashara sio tena jukwaa la kusemea watu, ukiona unaowito wa kuwasemea watu, studio zipo wadau tupo tutakuchangia uingie studio.
UpuZ mtupu
Huo

Ova
 
Back
Top Bottom